Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naitaji msaada jaman namba ambayo ntwapata meridian kwa haraka hela nimekula nina shida nayo aitoki afu nikiwapigia nakutana na maelezo afu simu badae inakatwa
Kama unatumia app log out then ingia kwa website ikishindikana na hapo wacheki kwa email huwa wanarespond haraka sana
 
Naitaji msaada jaman namba ambayo ntwapata meridian kwa haraka hela nimekula nina shida nayo aitoki afu nikiwapigia nakutana na maelezo afu simu badae inakatwa
Agiza rafiki yako aende shop yoyote ya Meridian akutolee huko via shop.
 
katika makampuni dizaini ya sportybet, sportpesa, bepawa, premierbet, galsport n.k, kampuni inayoongoza kuwa na options nyingi ni parimatch. parimatch inakaribiana na kina helabet na 1xbet kwa options.

tatizo la parimatch nimeshaingiwa na wasiswasi nao, mara kadhaa nimeona watu wakisema kuwithdraw mpaka uwe ulifanya full registration ikiwemo kuweka vitambulisho vyako, leseni n.k.

nikaja kuuuliza lakini kuna mkuu akanitoa wasiwasi kwamba unawithdraw kuanzia buku bila hata vitambulisho, leseni n.k.

pamoja na kutolewa wasiwasi lakini bado nina wasiwasi tu na parimatch.

mnaofanikiwa kuwithdraw parimatch mmefanya full registration ikiwemo vitambulisho na leseni?
Parimatch kuwitjlhdraw ni shughuli mzee, mchakato mrefu mno hasa ukila mkwanja wa kueleweka.
 
Parimatch kuwitjlhdraw ni shughuli mzee, mchakato mrefu mno hasa ukila mkwanja wa kueleweka.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app

Mara ya mwisho kutumia Parimatch, nilitoa 346k bila tatizo. Via Airtel money

Make sure mnafanya mawasiliano na number zao (customer support, +255 766 880 026)

Naona wanajitahidi kujibu fasta na kukupa ushirikiano ukikwama pahala.
 
IMG_20230128_164950.jpg
Screenshot_2023-01-28-16-49-16-60.jpg

Mawindoni muda huu kwa kanjibai
 
Back
Top Bottom