Huwa kunakuwa na masharti yeyote au hata mechi ikiwa live unaweza tumia
mechi 3+

odd 1.4+ kwa kila chaguo

potential wining iwe mara tano ya stake. kiufupi odds 5+

Sema bonus yenyewe ya kingese sana coz inahitaji ucheze round kadhaa nishasahau idadi. Nishawahi shinda round 1., still ikanihitaji kuendelea cheza ili mkwnja uhamie kwa main account. Sina hamu nayo
 
Eehh Jana Man utd tukaruka nae kama hivyo na ubovu wake tena akiwa nyumbani kwa livakuku sikuogopa odds ila maswali yalikuwa leo ili watu waliwe ni man utd ashinde ushind mwembamba wa moja bila au watoke sare ya bila bila...kwanini nilikuja na haya matokeo baada ya kuona 2+ ina odds 1.09 na 3+ ina 1.4 huko na odds ya GG ilikuwa 1.6 ingawaje ilikuwa vary nini maana yake nini walituaminisha kwamba hii game ina magoli sana ili tujae kwaenye mfumo....nikaamua kula 2x ya man utd.

Ukiangalia hapo chini mkeka mwingine wa basketbal NBA huyo Hauston roket kushinda foul alikuwa na odds 1.58 wakati mwenzie ana odds ya 2.8 dabo chance ikawa 2.5 kwa 1.32 lakini kumbuka Bucks kwenye NBA ni Jeshi(wapo imara)nikacheka hahaha nikasema kanjii huu mtego siingii.

Wenye akili timamu na wenye akili za kureason ndio watakao nielewa.

So wadau you need to take time uzisome odds ingia kila option chungulia....utapata kitu.

Location Udom ndaki ya CIVE.....ngoja nisogeze slide kesho test.View attachment 2846405View attachment 2846407
Oyaa upo block 4 na lecture pascal mtaalam wa probability yupo? Msalimie na Prof msele angalia usije pata carry hapo cive sio poa.
 
Mikeka y humu Fake sn
Nakataa.
Kwan we ukisuka unakula kila siku?
Kama ukichanika chukulia poa tu.
Kwan bet ni kuwa na hakika?
Ingekuwa hivyo si tungeshatajirika mapema sana na makampuni yangefilisika.?

Bet is a non sure thing but it's all about probability.

Tusikatishe tamaa wanaotuma code.
Code ikitumwa, we toa zile unaona kwako zina ukakasi.
 
Daa huyu wolfsburg women anampigaga mwenzie goli 5 mpaka 8 leo kwakua nimeweka hela yangu ya kodi matako huyu ameshindwa kutoa goli mbili! Nimeumia sana maafisa nipeni pole! Soon ntaanza kulala nje 😔 bora ningempa girona jeshi langu
Screenshot_20231218-234216~2.png
 
Nimepokea kaposho pahala nikasema nideposit 1xbet.
Pesa imekatwa MPESA, status ya 1xbet inaonesha nimedeposit lakini salio halijaongezeka.

Nawasiliana na 1xbet wanasema niwatumie email, naona usenge.
Baada ya muda msg ya 1xbet inaonesha muamala umekuwa cancelled na operator, but huku MPESA patupu. Najaribu kuwasiliana na MPESA wanasema muamala ulikamilika kami (wananipa na ref no)

ANGALIZO
Mnaotumia 1xbet, kitendo tu cha kudeposit ni kamari tosha. Kwa hiyo ikifanikiwa kufika kwenye akaunti ina maana umewin jaribio la kwanza, bado la pili.

Huyu mtu kati DUKA DIRECT ana shida, hata simu kupokea ni shida.
 
mechi 3+

odd 1.4+ kwa kila chaguo

potential wining iwe mara tano ya stake. kiufupi odds 5+

Sema bonus yenyewe ya kingese sana coz inahitaji ucheze round kadhaa nishasahau idadi. Nishawahi shinda round 1., still ikanihitaji kuendelea cheza ili mkwnja uhamie kwa main account. Sina hamu nayo
Check ur WhatsApp hommie
 
Nimepokea kaposho pahala nikasema nideposit 1xbet.
Pesa imekatwa MPESA, status ya 1xbet inaonesha nimedeposit lakini salio halijaongezeka.

Nawasiliana na 1xbet wanasema niwatumie email, naona usenge.
Baada ya muda msg ya 1xbet inaonesha muamala umekuwa cancelled na operator, but huku MPESA patupu. Najaribu kuwasiliana na MPESA wanasema muamala ulikamilika kami (wananipa na ref no)

ANGALIZO
Mnaotumia 1xbet, kitendo tu cha kudeposit ni kamari tosha. Kwa hiyo ikifanikiwa kufika kwenye akaunti ina maana umewin jaribio la kwanza, bado la pili.

Huyu mtu kati DUKA DIRECT ana shida, hata simu kupokea ni shida.
Tuma email ulivyo elekezwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom