Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huo ndio ubaya wa jackpot za baadhi ya company , mm kiukwel upande wa jackpot napenda ya sportpesa kwasb hawana hizo taratb za mpangilio , kma umefikisha idadi ya bonus unapewa hata kma hazijashinda Kwa mfuatano mm nlishawah pewa bonus sportpesa na mech Wala hazikufuatana.
Mkuu sio lazima zifuatane ingekuwa ni hivyo mbona ingekuwa ngumu kuliko ata kufanya analysis
 
iPhone 8+ storage 64gb BH 97 fingerprint ✅ @300,000/= 💰

+255676721372 ☎️
 

Attachments

  • IMG-20231219-WA0007.jpg
    IMG-20231219-WA0007.jpg
    92 KB · Views: 3
Da; huko dolo ni pagumu bora kukimbia asee,
Serious mm BP nishatemana nao naona wazinguaji tu na vile Kuna muda walidelay kuingizia watu pesa zao za ushindi nkatemana nao yaan mm kuhs jackport na deal na sportpesa kwanza match zao ni kama zinatabirika fulan hv lakin pia pesa ya sportpesa ni ndefu kwenye jackpot jackport ndogo ni kuanzia Milion 450 huko.

Match za kawaida natumia sportybet naona wako vzr kwasasa na Wana michezo mingi hata basketball kule unakuta zimemwagwa kama zote.
 
Sema wakuu nyie ni wabaya sana, yaani mimi miaka nakomaa na meridianbet, li app la kizee na hamniiti kuja sportybet, kweli..!?
Inatakiwa utupongeze.
Tumekuwa tukifanya Ibada maalum kwa waliopotea,shida ni nguvu za Jini Kanji Meribehena ndio tulikuwa tunapambanazo,mpaka Kuja SPORTBETY ni mchango wetu wa maoimbi kwako.

Karibu SPORTBETY,ila tafadhali saana,mkeka ukichanika lazima utukane hata kidogo,ndio masharti ya Tambiko la Jini wetu huku kilingeni SPORTBETY.
Matusi yawe ya kiistarabu, Tuition utaipata leo sa tano na Nusu na inaweza kuwa mapema zaidi ktk ukurasa huu, inategemea lecturer Gani atakuwa on duty

Karibu sana
 
Back
Top Bottom