KANYEGELO
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,159
- 4,764
Wanamchonganisha na ndugu na marafiki ,usili ni muhimuNaona taarifa ya habari ITV hapa, kuna mtu kashinda premier bet milioni 92 kwa dau la mia mbili.
Wamemuonesha kwenye taarifa ya habari ya leo jumatatu, ya ITV.