Simpleboylife
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 565
- 1,109
mechi 3+Huwa kunakuwa na masharti yeyote au hata mechi ikiwa live unaweza tumia
odd 1.4+ kwa kila chaguo
potential wining iwe mara tano ya stake. kiufupi odds 5+
Sema bonus yenyewe ya kingese sana coz inahitaji ucheze round kadhaa nishasahau idadi. Nishawahi shinda round 1., still ikanihitaji kuendelea cheza ili mkwnja uhamie kwa main account. Sina hamu nayo