Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naona taarifa ya habari ITV hapa, kuna mtu kashinda premier bet milioni 92 kwa dau la mia mbili.
Wamemuonesha kwenye taarifa ya habari ya leo jumatatu, ya ITV.
Mambo ya kiwaki sana hayo! Kuchoreshana!.... Kuna mitaa ukijulikana una fedha tu, tayari ni risk!....

Mzee konki master SPORTYBET hanaga pigo kama hizo za kishamba!!!

Mnamalizana kimyakimya!....

Hataki kujua pesa yako unafanyia nini... Hana habari nayo kabisa akishakuwekea imetoka hiyo..

... Utajua wewe.... Uhongee!?... Ulewee... Yeye hataki kujua!
 
Wadau msaada kwa aliyewahi kutumia hii bonus ya 1Xbet kama pesa
 

Attachments

  • IMG-20231218-WA0008.jpg
    IMG-20231218-WA0008.jpg
    28 KB · Views: 1
Huwa kunakuwa na masharti yeyote au hata mechi ikiwa live unaweza tumia
mechi 3+

odd 1.4+ kwa kila chaguo

potential wining iwe mara tano ya stake. kiufupi odds 5+

Sema bonus yenyewe ya kingese sana coz inahitaji ucheze round kadhaa nishasahau idadi. Nishawahi shinda round 1., still ikanihitaji kuendelea cheza ili mkwnja uhamie kwa main account. Sina hamu nayo
 
Eehh Jana Man utd tukaruka nae kama hivyo na ubovu wake tena akiwa nyumbani kwa livakuku sikuogopa odds ila maswali yalikuwa leo ili watu waliwe ni man utd ashinde ushind mwembamba wa moja bila au watoke sare ya bila bila...kwanini nilikuja na haya matokeo baada ya kuona 2+ ina odds 1.09 na 3+ ina 1.4 huko na odds ya GG ilikuwa 1.6 ingawaje ilikuwa vary nini maana yake nini walituaminisha kwamba hii game ina magoli sana ili tujae kwaenye mfumo....nikaamua kula 2x ya man utd.


Ukiangalia hapo chini mkeka mwingine wa basketbal NBA huyo Hauston roket kushinda foul alikuwa na odds 1.58 wakati mwenzie ana odds ya 2.8 dabo chance ikawa 2.5 kwa 1.32 lakini kumbuka Bucks kwenye NBA ni Jeshi(wapo imara)nikacheka hahaha nikasema kanjii huu mtego siingii.

Wenye akili timamu na wenye akili za kureason ndio watakao nielewa.

So wadau you need to take time uzisome odds ingia kila option chungulia....utapata kitu.

Location Udom ndaki ya CIVE.....ngoja nisogeze slide kesho test.View attachment 2846405View attachment 2846407
Oyaa upo block 4 na lecture pascal mtaalam wa probability yupo? Msalimie na Prof msele angalia usije pata carry hapo cive sio poa.
 
Mikeka y humu Fake sn
Nakataa.
Kwan we ukisuka unakula kila siku?
Kama ukichanika chukulia poa tu.
Kwan bet ni kuwa na hakika?
Ingekuwa hivyo si tungeshatajirika mapema sana na makampuni yangefilisika.?

Bet is a non sure thing but it's all about probability.

Tusikatishe tamaa wanaotuma code.
Code ikitumwa, we toa zile unaona kwako zina ukakasi.
 
Back
Top Bottom