pyongyang
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 698
- 1,479
aisee wanazinga sana bora ningempa girona dc kuliko kumbeba atalantaAtalanta jikaze basii, wenzako wote waliocheza na team za mkiani Leo wamefungwa au sare
aisee wanazinga sana bora ningempa girona dc kuliko kumbeba atalantaAtalanta jikaze basii, wenzako wote waliocheza na team za mkiani Leo wamefungwa au sare
Haziko invald badilisha nchi weka nigeriaInvalid mkuu
Day 1 ✅️Please receive this special Christmas Package familia, Mungu ni wetu sote ✌️View attachment 2845506
I wish mkeka utoboe Tukutane Tabata tarehe 25 Dec tugongeshe glass 🥂
Nilishakukataza ubishi tuKindege kilaaniwe milele 🥲
Check ur WhatsApp hommiemechi 3+
odd 1.4+ kwa kila chaguo
potential wining iwe mara tano ya stake. kiufupi odds 5+
Sema bonus yenyewe ya kingese sana coz inahitaji ucheze round kadhaa nishasahau idadi. Nishawahi shinda round 1., still ikanihitaji kuendelea cheza ili mkwnja uhamie kwa main account. Sina hamu nayo
Ana kichwa kigumu! Huyo jamaa!... Kama dumu la gongo!!!Nilishakukataza ubishi tu
Siku yako imeisha vizuriiatalanta ameshafanya comeback sasa mambo safiii namsubiri lisbon na porto watoe 2+ nifunge siku !
Tuma email ulivyo elekezwaNimepokea kaposho pahala nikasema nideposit 1xbet.
Pesa imekatwa MPESA, status ya 1xbet inaonesha nimedeposit lakini salio halijaongezeka.
Nawasiliana na 1xbet wanasema niwatumie email, naona usenge.
Baada ya muda msg ya 1xbet inaonesha muamala umekuwa cancelled na operator, but huku MPESA patupu. Najaribu kuwasiliana na MPESA wanasema muamala ulikamilika kami (wananipa na ref no)
ANGALIZO
Mnaotumia 1xbet, kitendo tu cha kudeposit ni kamari tosha. Kwa hiyo ikifanikiwa kufika kwenye akaunti ina maana umewin jaribio la kwanza, bado la pili.
Huyu mtu kati DUKA DIRECT ana shida, hata simu kupokea ni shida.
Rudi tu sportbety au bet powerTuma email ulivyo elekezwa
vizur saanaaa mkuu!Siku yako imeisha vizurii
The one and only Queen Hilde 😊 thanks so much for sharing