Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,537
- 3,629
Inaweza kuwahao bado hawajajua maana ya ndoa,,,mimi chuoni nimeishi na mwanamke miaka mitatu yote ila bado nasema sijawa na ezperience ya kutosha ilhali naelewa kwamba ndoa ni jambo tofauti haswa
Ngoja tuone