Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,305
- 10,582
- Thread starter
- #3,421
Mkuu somo lako kwa hiki kizazi ni somo gumu sana kuwahi kutokea, watu sikuhizi wanaangaliana tu tayari washatongozana na kinachofuata...........
Mkuu inaonekana unakula raha sana kuendesha gari jipya kabisa peke yako (mkeo),
Somo gumu hufundishwa kwa njia ngumu mkuu na ndio maana wengi wanasema sina staha utadhani wao wallivyotoa bikra walikuwa na staha