Nyie mtakuwa watu wajinga kwa asili au mnanufaika na CCM kama viongozi au watoto/ndugu za viongozi.
Ukiwa umezaliwa na upumbavu lazima utakuwa mpumbavu tu.

Unafikiri isingekuwa unanufaika na CCM ungekuwa unatomasa tomasa mapumbu ya wanaume wenzako hapa?

Unamwona Mbowe anavyonawiri, umeona jumba lake...amenufaika na CHADEMA?

Watanzania wote wananufaika. Piga ua.
 
Nafikiri CCM kuondoka madarakani ni kwa mtutu wa bunduki pekee na sio kwa njia ya kidemokrasia.

Ukiona watu wanashindwa hata kuwaachia wenzao watoe pole kwa wafiwa, basi ujue hao ni maharamia wakubwa na wapo tayari kucheza michezo yote michafu mbele ya wapinzani wao bila chembe ya ya aibu.
CCM ni zaidi ya shetani
 
Hivi huyo Rais ni nani hasa? Ywye siyo mwanadamu? Basi mngetangaza kuwa wanadamu wote waondoke leo Hanang kwa sababu kuna kiumbe wa ajabu kutoka sayari nyingine atafika Hanang.
Kwa mtu anayejua itifaki hawezi kuandika ulichokiandika..

Ukizingatia hiki si kipindi cha kampeni, ni majanga yametokea.
 
Back
Top Bottom