Itakua vyema Dkt. Musukuma akiteuliwa kuwa Waziri wa Madini maana ana uzoefu na mambo ya madini

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,292
8,203
Bila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt. Musukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini.

Huyu jamaa yupo smart sana.

Anaweza kuleta mageuzi kwenye sekta ya madini nchini.

Karibuni kutoa hoja
 
Bila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt Msukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini.

Kwenye madini kumetawaliwa na ushirikina na makafara tu, na hicho ndicho anachotumia Musukuma kutajirika
 
Huyu kawazid wale wa jalalan?????

Hebu tuweni serious wajameni.Nilidhani mungesema ktk bunge lijalo minimum qualifications iwe diploma na knowledge ya ICT iwe added advantage

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Bila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt Msukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini.

Huyu jamaa yupo smart sana.
Anaweza kuleta mageuzi kwenye sekta ya madini nchini.

Karibuni kutoa hoja
Huyu mtu ambaye ametapeliwa na kile chuo feki si atatapeliwa na wahuni wabobezi huko duniani
 
Bila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt Msukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini.

Huyu jamaa yupo smart sana.
Anaweza kuleta mageuzi kwenye sekta ya madini nchini.

Karibuni kutoa hoja

Naunga mkono hoja.

King Dr. J.K Msukuma (Mb) anafaa sana kuwa waziri wetu wa madini! Anaijua michezo yote! (yote ndio)
 
ndio, msukuma ni msomi mwenzetu saivi

Sio msomi mwenzenu, unajipendekeza!

Mwezenu King Dr. J.K Msukuma (Mb) yeye ni zaidi ya msomi wa PhD, yeye amepewa ile ya “heshima” sio ya darasani....

Fikiria alikotoka mpaka alipo?? Kwa wanaomfahamu (sio kumjua kupitia vijiweni) wanaelewa nachosema.

Hongera sana King Dr. J.K Msukuma (Mb)
 
Kwenye madini kumetawaliwa na ushirikina na makafara tu, na hicho ndicho anachotumia Musukuma kutajirika

Hoja yako ni kwamba hata wizara nzima na watendaji wake juu mpaka chini, ni wazoefu wa “ushirikina na makafara “ (Wizara ya Madini)

Mchawi anamjua mchawi mwenzie theory eeh?

*It takes one to know one.
 
Bila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt Msukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini.

Huyu jamaa yupo smart sana.
Anaweza kuleta mageuzi kwenye sekta ya madini nchini.

Karibuni kutoa hoja
🤔🤔🤔🤔🤔🤔😝😝😝😝😝😝😝
 
Naunga mkono hoja.

King Dr. J.K Msukuma (Mb) anafaa sana kuwa waziri wetu wa madini! Anaijua michezo yote! (yote ndio)
Mkuu michezo ipi? Ile ya kikatili ya kuwadhuru ndugu zetu albino kwa kuwakata sehemu ya viungo vyao vya miili? Na kisha kivitumia kishirikina katika biashara ya uchimbaji wa madini.

Kongole nyingine nyingi ziende kwa JPM. Aliweza kuthibiti bila woga unyama na ukatili huu, haikuwa kama ilivyokuwa katika siku za kuogofya za utawala za Mzee wa Msoga.
 
Hoja yako ni kwamba hata wizara nzima na watendaji wake juu mpaka chini, ni wazoefu wa “ushirikina na makafara “ (Wizara ya Madini)

Mchawi anamjua mchawi mwenzie theory eeh?

*It takes one to know one.
Ukipata fedha kiasi, jaribu kuingia uwekezaji kwenye uchimbaji madini kwa level ya wachimbaji wadogo. Ndipo utaelewa namaanisha nini
 
Waziri lazima awe na degree angalau moja ya darasani

Achana na huo udokta wake wa Mchongo

Inshort ni kwamba Msukuma hajakidhi vigezo vya kuwa Waziri.
 
Atasomeje mikataba wakati wanasema hajaenda skonga,, asije akawa kama akina chief Mangungo,,
 
Back
Top Bottom