Mkutano wa 12 wa Bunge unaoanza kesho unatarajia kujadili miswada miwili na maazimio matatu.
Ratiba ya Bunge iliyotolewa leo Agosti 28, 2023 inaeleza kuwa mkutano huo utafanyika kwa muda wa wiki mbili kuanzia kesho Agosti 29 hadi Septemna 8, 2023.
Kesho wabunge wataanza na kupokea taarifa ya...
Kuna sura tofauti imejitokeza Jimbo la Arusha Mjini. Mbunge wetu katokea Bungeni kwenye vikao, yuko Jimboni hataki kuongelea Mkataba wa DP world kabisa. Ila CCM Mkoa na Wilaya nao wamepiga kimya kuhusu mkataba huo.
Wabunge wamepatwa na kigugumizi gani? Mitandaoni Anaonekana Kinana na Wasira...
Shehe Ponda amehoji kupitia ukurasa wake wa Twitter kwanini Ijumaa isiheshimiwe kwa bunge kama ilivyo Jumamosi na Jumapili?
Ponda anasema Jumamosi ni Siku ya Ibada
Jumapili ni Siku ya Ibada
Na Ijumaa ni Siku ya Ibada, sasa kwanini Jumaa kareem isiheshimiwe au ni kiburi tu!
Sabato njema
Mbunge huyu tangu ajiuzulu uspika, amekuwa haonekani Bungeni na kama nitakuwa sahihi, hajaonekana hata mara moja.
Swali langu ni je, katika vikao via Bunge vinavyoendelea hivi, sasa, amehudhuria hata mara moja?
Kama hajahudhuria mpaka leo, hastahili kuvuliwa ubunge?
Kama alikwenda Israel...
Uongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai.
Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake wadhifa huo zilipotangazwa Januari 6, 2022 kwamba aliandika barua kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha...
1. Vyombo vya Habari ni Mali ya serikali au Mali ya wananchi na Umma Kwa ujumla?
2. Bunge kurusha matangazo live linategemea kibali cha Serikali au Bunge linapaswa kujiamulia lenyewe?
3. Mahakama kuruhusu vyombo vya habari kurusha mwendo wa kesi live inahitaji kuomba kibali cha Serikali au...
Bunge litakuwa na vikao vyake Jauary-February 2022.
Nashauri CCM wamzuie spika asiendeshe vikao hivyo kwa sababu jamii haina imani naye tena, ikiwemo CCM na wapinzani, pia aliwahi kusema ana faili mirembe, na juzi Katibu wa Uenezi CCM Njombe alisema inawezekana bado anaumwa, kichwa chake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.