babu

Babù real name Anderson Rodney de Oliveira (born 23 December 1980, in São Paulo) is a Brazilian football forward.

View More On Wikipedia.org
  1. Dogoli kinyamkela

    Kama Yesu anaponya Sasa mbona mnajazana hospitalini na kwa waganga wa kienyeji? Mtachanganyikiwa Hadi muombe msamaha Babu na Bibi zenu waliotangulia

    Kama Yesu anaponya Sasa mbona mnajazana hospitalini na kwa waganga wa kienyeji? Mtachanganyikiwa Hadi muombe msamaha Babu na Bibi zenu waliotangulia.
  2. Eli Cohen

    Navyozidi kuwa mtu mzima nagundua kuwa mapepo huwa yapo katika jamii duni, ukishafanikiwa utayaita afya ya akili

    UKishafanikiwa utayaita afya ya akili. Utamwaisha mtoto wako milembe mapema mnooo Ukifika kule utagundua afya ya akili ya mwananadamu ni uwanda mpana sanaa wakati huku mtaani afya ya akili inapimwa kwa kiwango cha kuokota makopo na kukimbia sokoni matako wazi.
  3. M

    Babu Tale: Kwanini tusije na Ambulance ndani ya SGR?

    Mbunge, Taletale amependekeza kuwa Serikali ije na SGR ambulance kwa kuwa kuna wagonjwa wanakiwa wanahitaji huduma ya magari ya wagonjwa kutoka Morogoro kwenda Muhimbili ila hawana uwezo hivyo kwa kuja na hiyo SGR Ambulance itakuwa imewasaidia wananchi wengi. Hayo ameyasema bungeni wakati...
  4. M

    Babu Tale: Muhimbili kuna changamoto ya magari ya Wagonjwa, kuna ushahidi yapo mawili tu

    Akichangia hoja Bungeni leo, Mei 12 MbungeTaletae amesema kuwa Licha ya wagonjwa kuwa wengi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ina magari mawili tu ya kubeba wagonjwa.
  5. W

    Babu Tale: Leo naondoka na mshahara wa Makonda na Mwana FA sijaona bajeti ya Arena ikizungumziwa

    "Waziri amezungumza hapa sijaona amezungumza bajeti ya Arena...ndugu yangu Makonda leo, kama mama anakuombea Dua nyumbani, mshahara wako naondoka nao...Mwana FA mshahara wako naondoka nao...ndugu zangu mtanisamehe Taifa kwanza udugu baadae..."- Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale...
  6. M

    RITA eleweni jina la babu sio jina la ukoo

    Habari wote. Wafanyakazi wa RITA mliomo humu eleweni na muwafahamishe pia na wenzenu kuwa jina la babu sio jina la ukoo. Mfano mimi naitwa John Julius Kipingo, cha kushangaza ukimuombea mtoto(mfano Peter) cheti cha kuzaliwa huko halmashauri kitakuja na majina ya Peter John Julius, ukiwauliza...
  7. nusuhela

    Mjue babu wa viumbe vyote duniani

    Kiumbe cha kwanza - LUCA Wanasayansi wanakiita LUCA = Last Universal Common Ancestor. Hicho ndicho kiumbe cha mwisho ambacho wewe, mti, mbwa, na bakteria wote mnatoka kwake. Kilikuwa vipi? Miaka bilioni 3.8 iliyopita: 1. Muonekano na ukubwa Kilikuwa kidogo ajabu - kama bakteria. Unahitaji...
  8. MK254

    Video: Babu Seif Kisauji asema waislamu wote wanaotumia mitandao ya kijamii watakwenda motoni

    Asema Waislamu hawaruhusiwi kutumia chochote cha makafir, na kwa vile hii mitandao na teknolojia zote hizi ni za makafir, hivyo wanaozitumia watakwenda motoni. https://vm.tiktok.com/ZS9R1jRMqEye9-PlLgb
  9. I

    Israel yashambulia “vituo vya Hezbollah” nchini Lebanon, na kusababisha mlipuko mkubwa

    Jeshi la Israel limesema limelenga vituo vinavyodaiwa kuhusishwa na Hezbollah nchini Lebanon, hatua iliyosababisha mlipuko mkubwa katika eneo hilo. https://www.instagram.com/reel/DVeHhHqD6Zf/?igsh=anMzbmlsNTlmYm5u
  10. bwawani90

    Wenzake na Mwanangu wanamtania "Huyu ni Babu yako"

    Leo katika pitapita zangu, nikaona nipite nimchukue binti angu. Basi bana watoto wakaniona nimepaki nikashuka kwenye Vogue, nikazunguka nyuma yao. Wakaanza kumtania mwanagu, Neema(code) huyo ni babu ako? Binti nikamuina alijisikia vibaya sana. Ndani ya sekunde wanashangaa mwenzao anaingia...
  11. ngara23

    Babu Trump ashaonya kuhusu ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo. Sasa endeleeni kuwachokoza TEC

    Wahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa Babu Trump hana hata mwezi ameonya juu ya matukio ya ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo. Marekani ni watu wana intelenjinsia Kali duniani, Kuna mambo wanawajua hata kabla ya sisi kujua. Ukiona Marekani amesema jambo ujue intelenjinsia...
  12. Fbn

    Trump ni babu mmoja mtu wa mishono, hii Putin ilimfanya kuwa kimya

    Mwaka 2025 Putin alifika USA ila baada ya kupewa heshima za kijeshi na kuongozana naye mara Putin anaona dege la B-2 likipitishwa makusudi na Trump alikuwa anamkumbusha kule Iran. 😁" Who are you " Hata Masafa ya TBC fm uwezi kutumia.
  13. Kimbesa11

    Hivi Hawa wazee wanaotumia majukwaa kuhatarisha amani yetu wangefanyiwa hivi wao wakiwa vijana Leo hii wangekuwepo hai? Wazee acheni ubinafsi

    Kwa Karne hii tunategemea tuone wazee wakitoa maonyo maangalizo ya nini tufanya na nn tusifanye ili kulinda uhai wetu ili hatimaye na sisi tuje tuzeeke tukiwa hai kama wao ila hii imekuwa tofauti kwa Hawa wazee wetu wa TEC kwa kweli hawapo katika kujenga, hawana uwezo wa kuonya dhidi ya mambo...
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    Babu yetu Tambitambi ameongeza mke wa nne jana

    Kweli ng’ombr hazeeeki maini
  15. Abdul Said Naumanga

    TBT (2011): Mnamkumbuka Babu wa Loliondo?

    Mwaka 2011 historia ya Tanzania iliandika ukurasa wa kipekee uliojaa matumaini, mijadala na sintofahamu kubwa. Katika kipindi hicho jina la Mchungaji mstaafu Ambilikile Mwasapile, maarufu kama “Babu wa Loliondo,” lilitawala mijadala ya kitaifa na kimataifa. Babu huyo kutoka kijiji kidogo cha...
  16. macho_mdiliko

    Kuibuka kwa 'Babu wa Loliondo' wakati wa Sakata la DOWANS....

    Dar could buy Dowans under proposed law Tanzania has come up with a Bill, the proposed Public Procurement Act, 2010, that if passed by parliament, will pave the way for the amendment of government procurement laws to allow the purchase of secondhand plants and machinery to tackle the...
  17. Mshana Jr

    Hofu ya babu yangu

    Kumbukizi ya picha.. Reflection ya wakati tulionao.. Tafakuri ya yanayotokea Tanganyika.. Simanzi ya yajayo🤔🥺
  18. Now and then

    Kesi ya Babu Seya ilionesha wazi kuwa Tanzania Mahakama zetu zinafanya kazi kimalekezo

    Leo nitaongea kuwa kulikuwa hakuna Kesi dhidi ya Babu Seya. Mchezo ule ule wa kitoto ndo bado unaendelea mpaka Leo mahakamani, kufanya Kazi kwa maelekezo. Babu Seya alihukumiwa kimakosa kwa shinikizo la wanasiasa.
  19. Waufukweni

    GE2025 Babu Tale akipika Mrenda baada ya kushinda Kura za Maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini, Mashariki

    Babu Tale akipika ugali na mrenda, muda mfupi baada ya kutoka kwenye ofisi za chama Mvuha, siku moja baada ya kushinda kura za maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini Mashariki kwa kupata kura 5,318 dhidi ya Omar Tebweta Mgumba aliyepata 1,310.
  20. Sifi Leo

    Mh Babu aliponusurika mwanao walikuwa wamekuda 10 siku hiyo kwa uzembe wao, kusema ukweli Dr Samia katurudisha enzi za jakaya

    Mh Babu, kama utanibishia tafadhali familia vifo vya siku hiyo vipo 10 watoto walikufa WA uzembe wa watumishi. Kama unabisha njoo mm Niko hapa uone ni aibu mawenzi watu wanakula mnoooó
Back
Top Bottom