Kabila lipi hapa nchini linaongoza kwa kupenda kulelewa na wanawake

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Wapo wanaume wasio fanya kazi ila wanataka kulelewa na kuhongwa, ni kabila lipi linaongoza kwa tabia hiyo maana hata kuoa hawataki.
 
Hata ww unaweza ukawa moja wapo kwa sababu hio sio sifa ya asili hua inatokea tu mwanamke kumlea mwanaume so hatawewe unaweza funter ww
 
Back
Top Bottom