Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Nakadori

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
8,781
20,946
Mkazi wa makabe anayeitwa Grace amemwagia nyumba yao petrol na kuwasha moto huku akiwa amemfungia mpenzi wake ndani ya nyumba hiyo na kumfanya mwanaume huyo kuteketea kwa moto na kupoteza uhai.

Vyanzo vya kuaminika vinadai kabla ya tukio hili mwanamke huyu alikuwa akimtuhumu mumewe kwamba hakuwa mwaminifu kwa ndoa yao.

Mtuhumiwa amekamatwa yuko Chini ya ulinzi wa Jeshi la polisi.

Poleni wafiwa
Wivu ni mbaya
maimarthajesse~p~CRYndRQN0lj~1.jpg

Mumewe ni huyu

View attachment 1856008

Kabla ya tukio alipost haya Instagram
View attachment 1856009View attachment 1856010

 
Muda mwingine akili ituongoze kuliko hisia.

Imagine, umemchoma moto mwenzako na kumuua, wewe utaozea jela kwa maumivu makali.

Umefaidika nini sasa? Kwenda kufia jela ndiyo faida?

Aisee!.

Nimewaandikieni ninyi mtaokaosoma hapa.
 
Sometimes tuzitafakari kwa makini hizi scenarios

Unakutana na binti ya watu. Ana ndoto zake .. Mnayajenga na kuingia kwenye ulimwengu wa mahusiano mpaka ndoa
Anakusaidia kwa mengi mno unamtumia mpaka kusikofaa kutumika kiutu.

Unamharibu na kumharibia mengi.. Ila kwakuwa wewe ni wake anaridhia kiroho safi kabisa na bila kinyongo

HALAFU unakuja kumletea zinazomchoma moyo na kumuumiza hisia! Muogope sana mwanamke aliyejeruhiwa
 
Back
Top Bottom