Vijana siku hizi sijui wamekuaje? Nimeshindwa kuelewa na uvivu au ni nini? Yaani wanataka kulelewa

Point of No Return 19

Senior Member
Jul 2, 2023
194
454
Eti ebu njooni mnijibu sisi sijui tutaolewa na nani?

Mwanaume akikutongoza sasa hivi anakuuliza unaushi wapi, ukimwambia nyumbani

Anakuuliza tena kwako au kwenu?

Sasa ukijiroga ukasema unaishi kwako, basi ataanza nataka kuja kukusalimia ukikosea tu ukamkaribisha atakukula humo humo ndani kwako.

Yaani utampa chakula ale na wewe atakukula free

Atarudi tena na tena usipokua makini atahamia moja kwa moja

Au wengine wanatabia hii babe nikopeshe laki hapo,
Mara una 50k hapo

Ladies ukitongozwa sasa hivi Kama unaishi kwako SEMA unaishi kwenu kwa wazazi wako.

VIJANA wa SIKU HIZI wamekosa haya. Wameupoteza uanaume wao.

Unapata wapi ujasiri wa kulala kwa mwanamke hujui hata rent analipaje?

Hivi sisi wa karne hii tutaolewa na nani? Kama wanaume wenyewe ndo hawa

Wazazi leeni watoto wenu wa kiume kama wanaume ambao watakuja kuwa baba, mume na kiongozi Katika familia
 
Ndio haki sawa, 50-50 si bora huyo kuna dogo nilimshangaa kuanzia juu mpaka chini vyote anajisifia kununuliwa na demu wake, mpaka soksi.

Ila ndio matokeo ya 50-50,haki sawa inayo fundishwa mpaka mashuleni, kwani hatari sana mtoto wa kiume akianza kufikiri kwa 50-50 na ukizingatia jando na unyago hamna, mjiandae tuu dada zangu kwani hizo species za vijana zipo kibao mtaani.
 
Ktk kitu Sijawai kufanya na sito Fanya Ni kulala kwa Mwanamke au kumla Dem ktk Geto lake.

Huo mchezo ukiupenda jiandae siku kuliwa wewe.

TRUE STORY.
Mwaka 20.. nilipata Demu mmoja mzuri kwa muonekano na ni mzuri wa umbo kwa Mtazamo wangu, huyo.

Nilimpenda Sana yule binti tulianza mahusiano siku ya kwanza nilimla yule Demu lodge.

Ila Sasa akataka siku aje kwangu nilimkaribisha, alikuja akala kwangu ilikua siku ya Ijumaa anaondoka Juma pili.

Tuliendelea na mahusiano, Ila siku Moja yule Demu alitaka nimtembelee kwake hapo ndo Tatizo lilipoanzia.

Nilimuliza unaishi na nani, akesema anaishi peke yake.

Nilimwambia ntakuja Ila ntakuja na Mdogo wangu,
Nilimtafuta Mdogo wangu wa kitaa weekend nikaenda nae.

Tulikaa kwa yule Bint Kama masaa mawili nikamwambia yule binti tunaondoka maana Dogo anakaa Mbali inatakiwa nimrudishe, kiukweli yule Bint sio mtu wa Virungu, Ila alionekana kutopenda mimi kwenda pale kwake na Mdogo wangu.

Mimi nilienda nae kama ulizi ili tuwe watu zaidi ya mmoja ili Kama linatokea lolote kuwe na msaada.

Badaye alinitumia sms kua "uwahi kurudi nakuandalia Juice"
Nilikaa kimya kidogo badaye nikamjibu "Kuna nguo za kufua Nyumbani naenda kufua".

Nilimkwepa Mara Nyingi kwenda kwake, hilo alilalamika kuwa sipendi kwenda kwake.

Ilitokea siku moja tupo Wote alitaka niendeshe Gari yake, Hilo Jambo pia nililikataa akanimbia "mpezi wangu Why unakataa hii Ni Gari Yangu, sijanunuliwa na mtu, mbona unakua hivyo".

Siku hiyo aliindoka akiwa hayuko sawa Ila Baada ya muda alinitafuta akitaka tutoke Ila tutumie Bajaji maana nimekataa kuendesha Gari yake, nilikubali tukatoka Ila sukupenda kuendesha Gari ambayo sijui aliongwa au kuna nini nyuma yake.

Mapenzi yaliendelea Mimi nilikua nakaa nyumba ya kupanga yule binti akanimbia hile nyumba anayoishi ni yake nisisumbuke na Kodi akaniambia pale anapoishi ni Nyumba yake, siku alivyonambia maneno sikulaza Damu nilimjibu Fasta
"siwezi kuishi katika Nyumba ya Mwanamke".

Nilipomjibu hivyo alisema Mimi Nina mfumo Dume, maelewano yalikua madogo Sana.

Kuanzia hapo mahusiano yalikua na mgogoro kiasi ikafikia hatua tukaachana.

Mi Binafsi siwezi kwenda ishi kwa mwanamke, ni sawa sawa na kuishi ktk Hifadhi ya Barabara.
 
Si inakulea kazi yako mkuu.
Madem kibao wanaburuza range huko road, yaani manzi anaburuza range mi nakula lege halafu nikuhonge tena??

Ujue pesa inatoka kwa aliefanya kazi?? Na hizo ndo principle za pesa, ukinifurahisha nakupa pesa.

Madem wenye visent hufurahishwa na vinaja barobaro hivyo huwatunuku kila kilicho ndani ya uwezo wao.

Hakuna ubaya hapo, ni 50/50, ukiona we ni ke na unaumia Ke wenzio kuwalinda Me basi tafuta pesa na uache wivu, na kama wewe ni Me unaumia Me wenzio wakihonga basi tafuta pesa na uache wivu.
 
Ktk kitu Sijawai kufanya na sito Fanya Ni kulala kwa Mwanamke au. Kumla Dem ktk Geto lake...
Huo mchezo ukiupenda jiandae siku kuliwa wewe..
TRUE STORY.
Mwaka 20.. nilipata Demu mmoja mzuri kwa muonekano na Ni mzuri wa umbo kwa Mtazamo wangu, huyo.
Nilimpenda Sana yule binti tulianza mahusiano siku ya kwanza nilimla yule Demu lodge.. Ila Sasa akataka siku aje kwangu nilimkaribisha, alikuja akala kwangu ilikua siku ya Ijumaa anaondoka Juma pili.
Tuliendelea na mahusiano, Ila siku Moja yule Demu alitaka nimtembelee kwake hapo ndo Tatizo lilipoanzia,
Nilimuliza unaishi na nani, akesema anaishi peke yake. Nilimwambia ntakuja Ila ntakuja na Mdogo wangu,
Nilimtafuta Mdogo wangu wa kitaa weekend nkaenda nae. Tulikaa kwa Yule Bint Kama masaaa mawili nkamwambia yul bint tunaondoka maana Dogo anakaa Mbali inatakiwa Ni mrudishe, kiukweli yule Bint sio mtu wa Virungu, Ila alionekana kutopenda mm kwenda pale kwake na Mdogo wangu, mi nilienda anae Kama ulizi ili tuwe watu zaidi ya mmoja ili Kama linatokea lolote kue na msaada.
Badae alinitumia sms kua "uwai kurudi nakuandalia Juice"
Nilikaa kimya kidogo badae nikamjibu "Kuna nguo za kufua Nyumbani naenda kufua"
Nilimkwepa Mara Nyingi kwenda kwake, hilo alilalamika kua sipendi kwenda kwake.
Ilitokea siku mmoja tupo Wote alitaka niendeshe Gari yake, Hilo Jambo pia nililikataa akanimbia "mpezi wangu Why unakataa hii Ni Gari Yangu, sijanunuliwa na mtu, mbona unakua hivyo".
Siku hiyo aliindoka akiwa hayuko sawa Ila Baada ya Mda alinitafuta akitaka tutoke Ila tutumie Bajaji maana nimekataa kuendesha Gari yake, nilikubari tukatoka Ila sukupenda kuendesha Gari ambayo sijui aliongwa au Kuna Nini Nyuma yake.
Mapenzi yaliendelea Mimi nilikua nakaa nyumba ya kupanga yule binti akanimbia hile Nyumba anayoishi Ni yake nisisumbuke na Kodi akaniambia pale anapoishi ni Nyumba yake, siku alivyonambia maneno siku laza Damu nilimjibu Fasta
"siwezi kuishi ktk Nyumba ya Mwanamke"
Nilipomjibu hivyo alisema Mimi Nina mfumo Dume, maelewano yalikua madogo Sana.
Kuanzia hapo mahusiano yalikua na mgogoro kiasi ikafikia hatua tuka achana.
Mi Binafsi siwezi kwenda ishi kwa mwanamke, Ni sawa sawa na kuishi ktk Hifadhi ya Barabara.
We jamaa hujiamini, na kweli una mfumo dume na ni wa kindezi sana..

Mambo ya kujiuliza chap chap, huyo Ke anafanya kazi gani, analipwa bei gani, mafanikio yale yanaendana na hustle zake??
Vitu kama gari na nyumba ni vidogo kwa Ke mpambanaji maana wana mianya mingi, loopholes nyingi hasa hapa Tz za kutusua.

Unakuta Ke kwao wako njema, kazi nzuri analipwa gud, wakubwa zake wako njema. Afu utilie shaka mali zake??
 
Mmmmmmh Brother usipende Kitonga ipo siku mtaliwa Wote....
Hilo Jambo nililikataa. Na nimeona nae last Week alichosema.
Ktk mazungumzo aliniita Jina langu Akasema " Huyu Mtoto angekua wako"
Nilicheka tuuu.....
 
Wazee sio kitonga, so huna future na huyo dem?? Kama ndio kwanini ulete uzi hapa, ili umchafue?? Ili wanawake waonekane ni wa hovyo??

Hebu jitafakarini, kama huna malengo nae haina haja ya kusema usiende kwa Ke as if Ke wote wanaishi kwa mgongo wa Me kitu ambacho sio kweli.
Unataka kusema hakuna Ke wa 20yrs hadi 30yrs Tz nzima wanaoishi kwa kulipa bills zao wenyewe mpaka wategemee kudanga??
 
Kila mtu abaki na Mtazamo wake, sio kua yule Bint siku mpenda nilipenda Sana nae alinipenda Ila Mimi kwenda kuishi kwake hilo Jambo aliwezekani.
Yeye aje aishi kwangu Hata Kama naishi Nyumba ya Kupanga sio Mimi kwenda Kuishi kwa Mwanamke...
Binafsi Yangu Hilo Jambo sifanyi.
 
Wazee sio kitonga, so huna future na huyo dem?? Kama ndio kwanini ulete uzi hapa, ili umchafue?? Ili wanawake waonekane ni wa hovyo??

Hebu jitafakarini, kama huna malengo nae haina haja ya kusema usiende kwa Ke as if Ke wote wanaishi kwa mgongo wa Me kitu ambacho sio kweli.
Unataka kusema hakuna Ke wa 20yrs hadi 30yrs Tz nzima wanaoishi kwa kulipa bills zao wenyewe mpaka wategemee kudanga??
Yeye aishi kwangu sio Mimi kwenda kuishi kwa Mwanamke au Ukweni Hilo Jambo haliwezekani kwa Upande wangu Bora niwe na Mfumo Dume
 
Wazee sio kitonga, so huna future na huyo dem?? Kama ndio kwanini ulete uzi hapa, ili umchafue?? Ili wanawake waonekane ni wa hovyo??

Hebu jitafakarini, kama huna malengo nae haina haja ya kusema usiende kwa Ke as if Ke wote wanaishi kwa mgongo wa Me kitu ambacho sio kweli.
Unataka kusema hakuna Ke wa 20yrs hadi 30yrs Tz nzima wanaoishi kwa kulipa bills zao wenyewe mpaka wategemee kudanga??
Wachache sana.
 
Unapata wapi ujasiri wa kukaribisha mtu nyumbani kwako??!! Marioo wamekuwa wengi haswa hao mnaowaita sijui tall and handsome
 
Unapata wapi ujasiri wa kukaribisha mtu nyumbani kwako??!! Marioo wamekuwa wengi haswa hao mnaowaita sijui tall and handsome
Anataka aku Control Kama Remote na Tv
Mwanaume akishi kwa Mwanamke anakua Hana sauti anachosema mwanamke ndo hicho hicho.
 
Eti ebu njooni mnijibu ....sisi sijuhi tutaolewa na nani?

Mwanaume akikutongoza sasahv anakuuliza unaushi wapi,ukimwambia nyumban

Anakuuliza tena kwako au kwenu?

Sasa ukijiroga ukasema unaishi kwako,Basi ataanza nataka kuja kukusalimia ,,,,,ukikosea tu ukamkaribisha atakukula humo humo ndani kwako.

Yaani utampa chakula ale na wewe atakukula free

Atalud tena na tena usipokua makini atahamia moja kwa moja

Au wengine wanatabia hii babe nikopeshe laki hapo,
Mara una 50k hapo

Ladies ukitongozwa sasa hivi Kama unaishi kwako SEMA unaishi kwenu kwa wazazi wako.

VIJANA wa SIKUHIZI wamekosa haya

Wameupoteza uanaume wao.

Unapata wapi ujasiri wa kulala kwa mwanamke hujuhi hata rent analipaje?

Hivi Sisi wa karne hii tutaolewa na nani? Kama wanaume wenyewe ndo Hawa

Wazazi leeni watoto wenu wa kiume Kama wanaume ambao watakuja kuwa baba,mume,na kiongozi Katika familia
Wewe ume lelewa kama kuja kuwa Mwanamke,Mama wa familia ?!
Tuanze hapo kwanza
 
Back
Top Bottom