feza

Feza Gürsey (Turkish pronunciation: [ˈfeza ˈɟyɾsej]; April 7, 1921 – April 13, 1992) was a Turkish mathematician and physicist. Among his most prominent contributions to theoretical physics, his works on the Chiral model and on SU(6) are most popular.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Je, Mamlaka iliyomuhamishia Mwamposa nyuma ya Shule za Feza, Ukwamani Secondary na Kawe B ina Akili sawa sawa?

    Hoja yenu Kuu ya kumuondoa Mwamposa hapo Tanganyika Packers Kawe aliko sasa kwakuwa wenye Eneo NHC wanataka kuanza Phase II ya Ujenzi wa Mall / Supermarket Kubwa nimeielewa 100% kwakuwa ina Mashiko na sahihi kabisa. Ila GENTAMYCINE hadi sasa sijaielewa hiyo Taasisi na Mamlaka husika kuamua...
  2. C

    Pole sana Mwamposa baada ya kulikoroga Tanganyika packers na kukataliwa na Feza School ulipoambiwa uhamie jirani nao

    Tulikuonya kuwa acha dharau kutokana na utajiri wako wa kuwahadaa kimapumbazo waumini wako na kamwe usiwaamini hao viongozi waandamizi watatu wa serikalini wanaokupa jeuri kwani kuna siku utageukwa na hutoamini hukutaka kutusikiliza Mwamposa najua unaficha sana hii taarifa ili isienee wala...
  3. GENTAMYCINE

    75% ya Madereva wanaopaki Gari zao kusubiria kubeba Wanafunzi Shule ya FEZA Kawe, huyageuza 'Gesti Bubu' Tanganyika Packers Grounds

    Niwaombe tu Wamiliki wa hizo Gari kisirisiri Kuzifunga Camera ili wawe Wanajionea Video X za bure pale wakitaka kutoka kwa Madereva Wao waliowakabidhi hizo Gari ili wabebe Watoto wenu. Madereva ambao GENTAMYCINE nawazungumzia hapa ni wale ambao Asubuhi hubeba Wanafunzi kutoka Majumbani kwa...
  4. aka2030

    Product za Feza Schools huwa zinapotelea wapi?

    Naomba kujua Hii shule zaidi ya miaka 15 kila mwaka kitaifa matokeo ya form 4 na form 6 lazima iwepo. Ila product zake sijawahi kutana nazo sio serikalini hata private sector. Huwa zinaenda wapi?
  5. tutafikatu

    Feza Girls ilitaifishwa?

    Mbona hii shule haifanyi vizuri? Wale Waturuki bado wapo? Siku hizi ada kubwa na extra curricula kibao ila matokeo zero. Nasikia walimu wako shallow sana. Hadi wa O-level wanafundisha A-level. Enzi mamsapu akisoma pale shule ilikuwa moto sana. Uongozi wa sasa ni wa watanzania? Nasikia matokeo ya...
  6. LIKUD

    Baba wenye 30s wenye mabinti teenagers njooni hapa (Huyu binti yangu nimpeleke Feza Girls au Makongo Sec?)

    Am almost 35 and my daughter is 15 (kidato cha pili) Nahisi kama vile sina tena uwezo wa kum control huyu mtoto. I think She now takes me as her brother (Nimelihisi hili kwa kuangalia jinsi aanavyo wa address agemates wangu ) Hawezi kusema kuna mbaba mmoja au uncle mmoja, atasema...
  7. Peramiho yetu

    NECTA yatoa ufafanuzi kuhusu mjadala wa ufaulu kati ya shule ya Wasichana ya Anwarite na ya Wavulana ya Feza

    Wakuu Sina la kusema Sana nitaatach maswal ya MALISA ambayo amewauliza NECTA Kama haitofunguka Anauliza shule ya SEKONDARI ANWARITE ina watoto 76 wote wamepata daraja la 1 na imekuwa ya 11 kitaifa Lakn sule ya SEKONDARI FEZA WAVULANA ina watoto 62 lakn 59 wamepata daraja la 1 na 2 daraja la 2...
Back
Top Bottom