kukataliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukataliwa na mabwana hapa Jf saivi anadislikes member wote wa jf

    Mti mzuri mtaujua kwa matunda yake jamaa anatembeza dislikes kama njugu Moderator Payge mko wapi?
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Maumivu yanaweza kubadilika kua nguvu, fedheha inaweza kua motisha na kukataliwa kunaweza kua mwanzo wa safari mpya kubwa kuliko unavyofikiria

    Usimdharau mtu anae nyamaza kimya baada ya kudhalilishwa, usifikiri kimya chake ni udhaifu, huenda kimya hicho kinaandaa ushindi wake. My friends, ladies and gentleman, kukata tamaa ni dhambi. Ni muhimu sana kuzibadili changamoto unazopitia maishani ili kua fursa ya kujisahihisha...
  3. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Deo Ndejembi kuanza katiba mpya

    Naambiwa huyu jamaa ni mmoja wa waumini waku wa wa katiba mpya. Bila shaka mwezi wa kwanza kazi I ataanza na hili
  4. F

    JamiiForums Tanzania Inaonekana wazi sasa kuwa Dangote alikimbilia kujenga refinery Kenya baada ya kukataliwa Tanzania

    Ni takribani mwezi mmoja tu tangu bwana Dangote alipotangaza kuwekeza mradi wake mkubwa wa takribani $16 bilioni nchini Kenya. Hayo yalijitokeza baada ya maneno ya rais wa Kenya kwamba walishakubaliana mwanzoni kuwa kiwanda cha kusafisha mafuta (refinery) kijengwe Tanga lakini ilionekana kuwa...
  5. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Kwenye Soko la Ajira la Leo, Unaweza Kukataliwa Kwa Sababu Yoyote!

    Soko la ajira la siku hizi limekuwa la ajabu sana. Unaweza kuwa rejected kwa sababu yoyote isiyo na mashiko. REJECTED. Your current salary is too high — REJECTED. You're over 40 — REJECTED. You don't have enough experience — REJECTED. You have too much experience — REJECTED. Your notice...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwenye Maisha yako yote, ogopa kukataliwa na Mungu

    KWENYE MAISHA YAKO YOTE OGOPA KUKATALIWA NA MUNGU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kukataliwa na Mungu wako. Mungu ni mwingi wa rehema. Mwenye huruma nyingi. Mwenye upendo mwingi. Ikifikia hatua amekukataa my friend game over. Umekwisha. Alafu ukikataliwa na Mungu unajua tuu. 2. Maisha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mlidhania mkiwatukana na kuwadhalilisha wakatoliki rais Samia atakubalika! Ndio anazidi kukataliwa mioyoni mwa Watanzania.

    Fanyeni utafiti namna vijana wanavyomchukuia. Nendeni vyuoni na kwenye mashule mfanye tafiti. Wazee pia hawamkubali. Mlidhani kutukana kuwakejeli wakatoliki mtapata sapoti ya wakristo wengine? Mmelamba mchanga.
  8. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wazo Fyatu: Wamezoea Siasa za Kulipana, Hawaamini Kukataliwa!

    Na. M. M. Mwanakijiji Ni wazi kuwa kuna kitu kinawasumbua watawala wetu walioshindwa. Hawaamini kuwa wanakataliwa na maelfu kama siyo mamilioni ya Watanzania na kukataliwa huku hakuwaingii kichwani. Baada ya mauaji makubwa kutokea kati ya Oktoba 29 na Novemba 4 watawala wetu hawa wamebakia...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kukataliwa na mfumo kwa wahitimu wa Digrii ya Microfinance & Enterprises Development

    Kuna Changamoto Ambayo Tunaipata Sisi Wahitimu wa Degree Ya Microfinance And Enterprises Development tunakuwa Auto Rejected kwenye Ajira Portal Wakati hata sisi kweye Core za Masomo yote tunatambulika kama watu wa Fedha(Finance). Pia hata kwenye vigezo vya Ajira kabisa hata sisi tumo ila...
  10. MOHAMADI MBARUKU MOHAMADI

    JamiiForums Tanzania KERO Kukataliwa kwa wahitimu wa BA in History and Political science kwenye Ajira Portal

    Wahitimu wa Udsm wa ba. In History and Political science wana disqualify kuapply public administration and HRM Japokuwa walizisomea darasa moja na lecture mmoja pamoja na wanafunzi wa political science and public administration ambao ndyo wako more favored. Kwa hiyo kama ni ngumu kuajiriwa...
  11. Nrangoo

    JamiiForums Tanzania Watu wa karibu wasimulia chanzo cha kifo cha Daktari Magreth huko Kilimanjaro

    Naona watu mnazungumza bila kuwa na taarifa za kutosha kuhusiana na kifo cha daktari, na wengi mnazungumza kwa hisia. Kwa kifupi iko hivi , Mzazi wake Dr Magreth pengine ndiyo chanzo cha haya yote. Magreth alishampeleka mchumba wake nyumbani kwa mzee wake akamkataa na alimgomea mara kadhaa...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Faida ya kukataliwa, Usichukie kukataliwa au kupuuzwa

    Watu wakikukataa usichukie au kupanga kisasi, chukulia kama kupewa changamoto ya kupambana. Usiweke vinyongo na ndugu au jamaa waliokukataa au kukudharau na pengine kukataa kuwasaidia huko mbeleni. Hapana, kukataliwa inaweza kukupa faida zaidi wewe kuliko wao, lakini tu kama utaweka jitihada na...
  13. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Ni heri kukataliwa kuliko kuishi na majuto

    Jana ndiyo nimeamini ni heri utupe nyavu halafu ukataliwe kuliko kuishi na majuto baada ya kutotupa nyavu. Jana nilikuwa nasafiri kutoka mkoa X kwenda Z kwenye basi nilikaa na binti mmoja alikuwa mchangamfu kweli, tulipiga stori za hapa na pale mpaka alipofika anaposhukia, alikuwa anashukia...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mungu baada ya kukataliwa na Wanadamu zaidi ya mara mbili akaamua kwenda Mbali na uso wa Dunia

    MUNGU BAADA YA KUKATALIWA NA WANADAMU ZAIDI YA MARA MBILI AKAAMUA KWENDA MBALI NA USO WA DUNIA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Maskini! Ni simulizi ya kuhuzunisha Sana. Hakuna kitu kibaya kama KUKATALIWA, hakuna kitu kibaya kama kutokupendwa. Mungu akaumba dunia. Kisha akaona acha amuumbe...
  15. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukataliwa pamoja na status yako? Ulijisikiaje?

    Ughonile., Kuna ile hali unasema yule mkaka/mdada nikitupia ndoano tu lazima anase lakini mwisho wa siku unapigwa kibuti kimoja saafi unabaki umeduwaa. Ukijitathmini unaona uko fresh kabisa, uko vizuri kiuchumi, handsome/mrembo, una kausafiri kako, unatokea familia yenye profile kubwa, msomi...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi: Yanga wametangaza uwanja wa KMC kabla ya approval, wanaweza kukataliwa

    https://www.youtube.com/watch?v=k5QFX2fgpjI Msikilize Boimanda ambaye ni Afisa Habari wa Bodi ya Ligi. Watapewa majibu kwa mujibu wa kanuni ya 9. Kanuni imeeleza sababu za msingi za kuhama uwanja, lazima kuwe na sababu nzito. Sababu zilizotolewa na Uto ni kufungwa na Azam na Nyuki. Amesema...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA yapuuzwa na kukataliwa na Wananchi

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA imepata pigo kubwa sana baada ya wananchi kuyapuuza na kuyakataa maandamano yao haramu na yaliyopigwa marufuku na jeshi la police pamoja na kulaaniwa na mamilioni ya watanzania,kutokana na kauli zake zenye kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini. Wananchi...
  18. F

    JamiiForums Tanzania CCM inapaswa kukataliwa kwa nguvu zote

    Tunapokosea watanzania ni kuendelea kuruhusu CCM ibaki madarakani kwa muda mrefu zaidi. Mfumo wowote wa uongozi ukibaki madarakani muda mrefu matokeo yake ni kujisahau na kufanya mambo kwa mazoea. Watanzania tunapaswa kuangalia alama za nyakati, ni wakati wa kuondokana na CCM kwa namna yoyote...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wanaume hii yetu; Hivi ulishawahi kukataliwa ukweni Mwanamke ulitaka kumuowa kisa mahari

    Wanaume hii yetu; Hivi ulishawahi kukataliwa ukweni Mwanamke ulitaka kumuowa kisa mahari
  20. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Yanga yatuma malalamiko rasmi CAF kuhusu kukataliwa goli lao.

    Leo hii Yanga imetuma malalamiko CAF kuhusu kukataliwa goli lao.
Back
Top Bottom