GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,689
- 109,119
Hoja yenu Kuu ya kumuondoa Mwamposa hapo Tanganyika Packers Kawe aliko sasa kwakuwa wenye Eneo NHC wanataka kuanza Phase II ya Ujenzi wa Mall / Supermarket Kubwa nimeielewa 100% kwakuwa ina Mashiko na sahihi kabisa.
Ila GENTAMYCINE hadi sasa sijaielewa hiyo Taasisi na Mamlaka husika kuamua Kumhamishia Mwamposa aende kujenga Kanisa lake temporary katika Uwanja ulio wazi na ulio Jirani kabisa na Shule za Feza, Ukwamani Secondary na Kawe B wakati wakijua fika kuwa kwa aina za Kelele za Waumini wa Mwamposa na Mahubiri yake yenye Kelele haitokuwa salama Kitaaluma kwa Wanafunzi wa Shule tajwa na hata tu Kisheria hairuhusiwi ila nashangaa kwa Mwamposa kaelekezwa ahamie pale / hapo.
Na taarifa ambazo bado GENTAMYCINE naendelea Kuzifuatilia ( yaani sijazithibitisha bado ) zinasema kwamba baada ya Mwamposa kuelekezwa ahamie katika hilo Eneo jipya lililo Jirani na Shule tajwa ni kwamba tayari Mmiliki wa Shule ya Fedha ambaye ni Tajiri mara Saba ya Mwamposa na hata Serikali yake ya Uturuki nayo si tu ni Tajiri bali imeizidi kwa mbali sana Maendeleo nchi ya Birthday Party kwa Marais ( Tanzania ) amekataa Uamuzi huo na kusema kama Mwamposa atahamia hapo basi alipwe upesi mno Thamani yote ya Uwekezaji wake mkubwa alioufanya hapo baada ya Kuuziwa Eneo hilo na Godfather wa Chalinze Bagamoyo ili ahame au aambiwe hilo eneo la wazi ambalo Mwamposa anataka kupewa ili awe anawapigia Kelele na Mapepo yake ni Shilingi ngapi ili alinunue tu lote.
Kwa Masikini Wenzangu Shule za Ukwamani Secondary na Kawe B inasemekana walichoamua Wao kama kweli Mwamposa atahamia hilo eneo Jirani nao basi kwakuwa Wao Jeuri ya Hela kama aliyonayo Mmiliki wa Shule ya Feza hawana lakini watakachokifanya ni Kuwapopoa tu na Mawe ( Vitofa ) Waumini wa Mwamposa kila wakiwa wanaenda hapo Ibadani jirani nao ambako wameelekezwa wahamie / ahamie.
Na Wewe Mwamposa kuna muda unakuwa kama vile Roho Mtakatifu wako alikunyima Akili za Kufikiria vizuri ila za Kuagua Mapepo na kula Sadaka za Waumini wako na uwekeze katika Miradi na Biashara zako mbalimbali alikupa.
Hivi Wewe Mwamposa si una Eneo kubwa sana hapa Mbezi Beach Tangi Bovu jirani na kwa Marehemu Mzee Kitundu na Mita chache liliko eneo la Mama Maria Nyerere?
Hivi Wewe Mwamposa si una Eneo kubwa sana Sala Sala na Bunju ambako yanatosha kabisa Kujenga Kanisa na ukaachana na huku kila Siku tu kupewa Notisi na NHC na Mamlaka kuwa uhame hapo Tanganyika Packers Kawe?
Mara kadhaa Mwamposa umesikika ukiwaambia Waumini wako kuwa utahamia hapo Tangi Bovu Mbezi Beach au kule Sala Sala sasa mbona bado tu unang'ang'ana na Kawe ambako Mamlaka zimekuchoka kwakuwa unawapa sana Usumbufu na Kero hasa Kipindi hiki wanaendelea na Ujenzi hapo?
au na Sisi wengine sasa ( akina GENTAMYCINE ) tuanze kuamini haya tunayoyasikia kutoka kwa baadhi ya Watendaji wako kuwa unapapenda hapo Tanganyika Packers Kawe kwakuwa ni karibu na Baharini ambako yale Madude yako Manne pamoja na haya Manne uliyoyachukua kwa Yule Marehemu wa Nigeria ndiko huwa yanalala na kuja Kuwapumbaza Wanaokuamini na wanakupa Pesa zao zote ili uendelee Kutajirika kisha Wao wanaendelea kuwa Masikini na hata Wengine sasa kuugua Ukichaa?