necta

  1. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Walimu wa shule binafsi Wilaya ya Ngara hatuteuliwi kusimamia mitihani ya NECTA tangu 2021?

    Tunaomba ufafanuzi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI kuhusu uteuzi wa walimu wa shule binafsi kusimamia mitihani ya NECTA. Kabla ya mwaka 2021, walimu wa shule binafsi walikuwa wakiteuliwa kushiriki katika usimamizi wa mitihani ya NECTA. Hata hivyo, tangu mwaka 2021 hadi sasa, walimu wa...
  2. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana mwalimu mwenye Degree kuhama kutoka halmashauri(shuleni) kwenda NECTA, TIE, NACTVET etc....?

    Hello, I hope mko poa. Mie ni mwalimu wa masomo ya Sayansi nafundisha shule moja ya Secondary hapa mkoani. Nimeajiliwa na serikali, 2 years ago. Sasa katika kutafuta changamoto mpya, nimekuwa nikiona matangazo ya kazi uko ajira portal, lakini nkitaka kuomba mfumo unakataa Kwa sababu Nina...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania NECTA mnaposema mumegundua majibu wametumia AI si bora mseme waliingia simu

    Majibu mepesi mepesi ni kama haya haya yanayoendelea kwenye serikali hii mbovu. Unapotangaza mumegundua kuwa majibu ni Ai. Mungesema wameingia na simu maana AI hakuna ya kichwa cha mwanadamu kikajibu kama ilivyo AI.
  4. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania NECTA: Ufaulu matokeo kidato cha sita 2026 ni 99.9%. Ni kwamba elimu imeboreshwa au kuna mtu anafurahishwa?

    Mtihani wa kidato cha sita, takwimu zinaonesha kuwa ufaulu kwa watahiniwa wa shule ni asilimia 99.9, ambapo watahiniwa 125,056 kati ya 125,320 wamefaulu kwa kupata madaraja ya I, 2, 3 na 4." Kuhusu matokeo kwa mtihani wa kidato cha sita, takwimu zaonesha kuwa ufaulu kwa watahiniwa wa shule ni...
  5. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya NECTA Kidato cha Sita 2026 | NECTA ACSEE RESULTS 2026

    NECTA wametangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2026 huku wakieleza kuwa, ufaulu umeongezeka. unaweza kuyatazama matokeo hayo kwa Kugusa Hapa. Baada ya kuona matokeo, unaweza kuuliza swali lolote hapa kwa usaidizi.
  6. Third eye judge

    JamiiForums Tanzania Huduma kwa wateja necta bado hazijakidhi ubora mzuri

    Habari,, Tuna Huduma mbalimbali zinazohudumia mamilioni ya wateja nchini kama vile mitandao ya simu, tanesco, mabenki nk. Ingependeza sana taasisi muhimu kama NECTA ingeweka juhudi zaidi katika ubora wa Huduma kwa wateje hasa wale wa mikoani kwani Huduma muhimu kama vile uthibitisho wa vyeti...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mpimbwe, Katavi kijiji cha Mwamapuli kuna geti linalokusanya ushuru wa mazao bila utatatibu

    Kuna malalamiko kutoka Kijiji cha Mwamapuli, Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe mkoani Katavi, kuhusu geti linalodaiwa kukusanya ushuru wa mazao kinyume na taratibu. Kwa mujibu wa wanaotoa taarifa hizi, geti hilo halifanyi kazi mchana, bali huanza shughuli zake kuanzia jioni hadi usiku. Inadaiwa...
  8. uran

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 yatangazwa

    Ufaulu Umepanda. Futatilia hapa. https://www.youtube.com/live/uwbLeIIRXOc?si=m-Iyj06qeAYHlPCl Kupata Matokeo fungua link hii: https://matokeo.necta.go.tz/results/2025/csee/index.htm --- Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia...
  9. T

    JamiiForums Tanzania NECTA kuwa na mfumo wa kuficha majina ya watahiniwa katika matokeo, ina faida gani?

    Heri ya Mapinduzi kwa wazanzibari wotee. Necta hivi karibuni wameamua kutokuweka majina ya wanafunzi katika matokeo. Pamoja na mambo ya kulinda taarifa binafsi kwa hili hapana. Kujua ufaulu wa mtu hauishii kama mambo binafsi. Ni jambo la usalama wa taifa. Hebu fikiria kwa kipindi ambacho...
  10. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Eti ni kweli CV ya huyu mwandishi wa CNN anayetrend hata ukiunganisha za wote pale jengo karibu na NECTA hawagusi?

    Nauliza TU Mbogamboga mloingia shift ya usiku mnijibu tafadhari
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Said Ally Mohamed aliteuliwa kuwa Katibu mtendaji (NECTA) akitokia (OUT) kama zawadi kwa kukamilisha (LLB ) ya Naibu waziri

    DKT SAID ALLY MOHAMED alikuwa ni Afisa wa mitihani (Examinational officer) wa Chuo kikuu Huria cha Tanzania(OUT) .Mwaka 2021 alichaguliwa kama Katibu Mtendaji Baraza la mitihani (NECTA). Uteuzi huu ulikuwa ni zawadi safi aliyoifanya mwaka 2018. Kwa kuhakikisha wahitimu mwaka huo wako vizuri...
  12. President of China

    JamiiForums Tanzania Baraza la mitihani (NECTA) yatangaza mtihani wa kidato cha nne kuanza kesho

    Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne. Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kuketi hiyo kesho ni sawa na asilimia 65.63 ya wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Baraza la mitihani (NECTA) mnaangamiza Taifa, inafaa wapewe kesi ya uhaini

    Uadilifu wa NECTA toka alipoondolewa Professor Joyce Ndalichako umepotea kabisa Tiss na TAKUKURU pigeni kambi hapo mtupe majibu kwanini hii taasisi inahujumu elimu Kwasasa wizi na udanganyifu katika mitihani ya Taifa ni kawaida Kuna tetesi shule binafsi huwa wanapewa paper kabla ya miezi 6...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea nyuma ya huu ufaulu wa kushangaza wa kidato cha sita?

    DIVISION 1 - 61,120 DIVISION 2 - 49,385 DIVISION 3 - 14,870 DIVISION 4 NA 0 - 760 Watu wanasema elimu imerahisishwa kuna vitabu mitandaoni lakini haibadilishi uhalisia kuna wanafunzi hawapo serious, kuna wanafunzi wenye uwezo mdogo hata kuwe na rundo la material, wanafunzi watoro, n.k.
  15. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Baraza la mitihani (NECTA) limetangaza marekebisho ya vyeti kupitia shirika la BABU LEO LTD

  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Watahiniwa 71 wafutiwa matokeo ya Kidato cha 6 na NECTA

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limefuta matokeo yote ya Watahiniwa 71 wakiwemo 70 wa Mtihani wa Kidato cha Sita (64 wa Shule na 06 wa Kujitegemea) na mmoja wa Mtihani wa Ualimu Daraja A (GATCE) ambao walibainika kufanya udanganyifu katika Mtihani. Akiongea Visiwani Zanzibar leo July...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza Watahiniwa 134,390 kufanya Mitihani ya Kidato cha Sita kuanzia leo Mei 5 hadi 19, 2025

    Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza kuwa watahiniwa 134,390 wamesajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita, huku 10,897 wakitarajiwa kufanya mtihani wa ualimu kuanzia Mei 5 hadi 19, 2025 katika maeneo mbalimbali ya Tanzania Bara na Zanzibar. Katibu Mtendaji wa NECTA, Dkt. Said...
  18. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kuelekea mtihani wa kidato cha nne, Maswali na majibu pamoja na Solving karibu tujiandae pamoja

    Wakuu habari , thread hii nimeanzisha makusudi kwa lengo la kusaidia walimu na wanafunzi wa kidato cha nne ambao wanajiandaa na mtihani wa TAIFA (NECTA). Here we go!. Mimi nitatoa hints au vidokezo katika masomo yafuatayo. Civics History English Kiswahili Karibu Sana , tuwasaidie vijana...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania ULIYEMFICHIA MAJIBU NECTA NDIE MWAL WAKO VETA UTAIPENDA

    Utajua ujuiii Xyz Utaipenda
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wengi walishindwa kujaza 21% ya ajira kwasababu ya Necta, vyuma vimelainishwa tutegemee kuona wazanzibari wengi zaidi maofisini

    Hapo kabla ufaulu wa mitihani ya form 4 na form 6 ulikuwa mbaya sana Zanzibar, mbaya sana, Kuanzia miaka ya 2020s ufaulu umekuwa mkubwa sana sio tu Zanzibar ila hata mikoa iliyokuwa ikifanya vibaya bara. Wazanzibari wengi walishindwa kufika vyuoni kwasababu ya kufeli Necta lakini muda huu...
Back
Top Bottom