Kwa hili niwape kongole wazee wa geti jeusi wale wazee wa kitengo, huo ushauri mlioupa imekaa vizuri sana, maana Dunia haituelewi hadi muda huu, hata wafanyabiashara wa sekta ya utalii hawaelewi Nini kimetokea.
Embassies na High Commission zote nchini, tayari wameshatuma salamu kwenye nchi zao...
In a landmark move to strengthen domestic capacity and reduce reliance on imports, Uganda has officially launched locally manufactured diagnostic test kits for HIV, malaria, and sickle cell disease.
The initiative, unveiled by Prime Minister Rt. Hon. Robinah Nabbanja, also includes a locally...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla ameiagiza Wakala wa barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Arusha, Jeshi la Polisi pamoja na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kushughulikia kadhia ya foleni kwenye Jiji la Arusha kwa wakati ili kuondoa vikwazo katika shughuli za...
Bubu huyo ni miongoni mwa washukiwa wa makosa ya uhaini waliopandishwa leo kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi. Yupo pia mwandishi wa habari wa Millard ayo aitwaye Thomas pamoja na watoto ambao ni chini ya umri wa miaka 18.
Swali langu, bubu anawezaje kufanya uhaini?
Swali la pili, Ikiwa...
Wanasema kuna wale watu huwa wanajiamini kupitiliza wabwekaji kama mbwa koko majigambo mengi, lakini ni waoga, wewe unachotakiwa kufanya usijibizane naye mpe action moja tu hataongea maisha yake yote, atabaki kuchungulia dirishani hatakuja kutoka nje, anaogopa
Kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mwenye ulemavu wa sauti (bubu) kuna faida zake kipekee, hasa ukimpenda kwa dhati. Baadhi ya faida ni hizi:
Mawasiliano ya ndani ya moyo – mara nyingi watu wenye changamoto ya sauti hutumia zaidi hisia, ishara na macho kuwasiliana. Hii hujenga connection ya...
Watu wengi wamekuwa wakiamini ukipeleka gari kwa mhina ni yeye anatengeneza lakini kinachoendelea nyuma ya pazia hali nitofauri kabisa.
Gari ukiipeleka kwa mchina, ataikagua kagua ukiwepo, utapewa bili, n.k. mida ya usiku gari inavutwa kupelekwa gereji bubu au watamwita fundi wa gereji bubu...
Kuna miamba wamekuwa kimya nakujifanya wao mmmm hawataki makuu japo naeao misimamo yao ni ile nika moles fulani wanajitaidi wapite haka kamchujo waanze kusumbuwa acha akina mh Mpina hawa wamekuwa makini kuepuka kunaswa na ulimbo wakizi mkazi. Sasa wajiandae kisaikolojia hii ulimbo utawanasa...
Kesho asubuhi nitakua mbeya mjini kwa shughuli zangu binafsi.
Natafuta lodge au guest house zile bubu ya bei rahisi,budget yangu ni shilingi za kitanzania elfu 8 to 10.
Iwe mbeya mjini maeneo ya kuanzia uyole,nanenane,ilomba,Sae,Mama John,Soweto,isyesye na mafiati.iwe na usalama wa kueleweka na...
Pombe kali za makopo ambazo hazina viwango, na nyingne kali za kupima kwenye vikombe ama glasi(sio gongo) ambazo hazijulikani zimetengenezwa wap na kwa kutumia nini.
Wanywaji wa Pombe hizo wamekuwa wakisema zinawapotezea kumbukumbu pindi wanywapo. Na wengine hupoteza fahamu hadi siku mbili ...
Kuna ongezeko kubwa sana la wenye maduka ya spea za magari na pikipiki kuwa gereji bubu huku mitaani.
Sijui NEMC hawaoni hili kuwa tatizo sugu mbeleni. Uchafu wa oil na mafuta ya motokaa umekuwa kama suala la kawaida mitaani kila sehemu.
Mpaka viumbe wa majini kama samaki, vyura na wengine...
kila panapokucha panakucha na toleo jipya la pombe ,
Kuna ongezeko la kutisha la viwanda bubu majumbani vya utengenezaji wa kila aina ya pombe za makopo ambazo hazina viwango,jambo ambalo linahatarisha usalama wa wananchi hususani vijana.
Wananchi wengi wamekuwa wakilalamika serikali...
Bei ya Grand malt iliyozoeleka ni elf 2 na mia tano lakini sikuhizi kuna maduka unapata kwa elf 2
Nilianza kununua za elf 2, Sijajua kama koo na ulimi wangu vina matatizo lakini nahisi kuna vitu vimepungua kuanzia ladha, ubaridi, gesi, jinsi inavyopita kwenye koo, n.k.
Nimeanzisha uzi huu...
Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine. Inadaiwa alimuua mmoja wa wafanyakazi wake na akamtupa kisimani.
Sasa ile...
Leo napita youtube naona bubu anaimba tena cha kushangaza naona anazidi kutrend
MC Baba Congo has been trending recently because of his unique approach to rap music, which has connected with audiences worldwide. As a deaf and mute rapper from Congo, he uses sounds instead of words in his...
Niende kwenye moja kwa moj kwenye mada binafsi sio mpenzi sana wa kuangalia tamthilia kutokana na kuchelewa kurudi kutoka kwenye majukumu.
Ila kutokana na hiki kipindi cha sikukuu toka pasaka mpk sasa tunasubiria Idd nimepata muda wa kukaa kidogo kwenye tv na familia aisee tamthilia ni moja ya...
Baadhi ya shule za sekondari wilaya Mbinga zimeanzisha hostel bubu ambazo hazifai kwa matumizi ya wanafunzi hususan wa kike hasa madarasa ya mitihani na hata zile shule zenye hostel za wasichana hazina hadhi ya kuwa hostel.
Baadhi ya shule kama vile Kikolo, Mkwaya,Dr.Shein,Mkoha,Matiri...
Anonymous
Thread
bubu
hostel
mbinga
sekondari
shule
shule za sekondari
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Kaskazini kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha iliendesha operesheni maalum ya kuwasaka watu wanaojihusisha na uzalishaji wa dawa bandia ambapo mamlaka hiyo imefanikiwa kubaini kiwanda bubu ambacho kinatengeneza dawa bandia za mifugo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.