Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,146
- 20,302
Mwaka 2014 Jukwa la TEC,Tasisi ya Waadventist Wasabato na La Kikrito Tanzania lilisitisha Bunge la Katiba Mpya baada ya kuona ccm imepora mjadala na kutaka kufanya wanavyotaka wao huku wakipuuza maoni ya wananchi.
Rais Kikwete akatumia busaea za Walaka ule akaachana na mchakato ule uliokuwa unaenda kinyume na Malengo.
"...... Sisi tunaona mchakato wa mabadiliko ya katiba unapokwa na wanaccm wenye wabunge wengi huku Spika akitumia nguvu na uhabe kupitisha maoni binafsi nje yanwaliyotoa wananchi,. Pia tunaona vijembe na matusi yakiendelea bungeni na serikali kufunga tovuti ya Kamati ya kukusanya maoni ni dalili mbaya kuwa serikali haina nia njema.....". Ilisema sehemu ya Walaka huo.
Pia hii inanikumbusha mgogoro wa OIC mwaka 1994 ambapo Rais Mwinyi aliamua kuachana nao kwani ulikuwa unaenda kinyume na Katiba.
Hata hili la DPW akiachana nalo yeye sio wa kwanza kikubwa maslahi ya Taifa kwanza.