Je! Bunge la Katiba lina mamlaka ya uwakilishi wa wananchi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je! Bunge la Katiba lina mamlaka ya uwakilishi wa wananchi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Landson Tz, Oct 28, 2012.

 1. L

  Landson Tz Senior Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 113
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Wanajamvi,
  Ninawasiwasi juu ya Bunge la katiba, kwanza kwasasa bunge la Jamuhuri na baraza la wawakilishi ni makundi kati ya makundi mengine katika jamii na mkataba wao kwa wananchi ni kuwawakilisha, sasa majukumu haya mazito kwanini wanapewa bure na Rais na si wananchi kwa kisingizio cha katiba iliyopo ambayo ndiyo chanzo kuandika upya katiba?

  Bila kujali gharama za kuwachagua, kwa maoni yangu binafsi wajumbe wa bunge la katiba wangechaguliwa moja kwa moja.
   
Loading...