askofu mwingira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Askofu Mwingira kauliza swali. Karibuni kwa majibu

    N.B. Naomba wote mnaotaka kutoa comment kwenye uzi huu mjibu swali la askofu na si vinginevyo
  2. beth

    TCRA yasimamisha kipindi cha EFATHA cha Nabii Josephat Elias Mwingira kwa miezi mitatu, Star TV yapewa onyo

    Kamati ya Maadili ya TCRA imesema Kituo cha Star Tv kimeonesha uzembe na udhaifu katika kusimamia kipindi cha EFATHA Ministries ambacho hurushwa kwa matangazo ya moja kwa moja, kwa kuruhusu maudhui yenye ukakasi ambayo ni kinyume na Kanuni za Mawasiliano TCRA ikimnukuu Askofu Josephat Mwingira...
  3. Erythrocyte

    Simbachawene, kabla hujaapishwa huko kwingine tuambie yalikoishia Maagizo yako ya kumkamata Nabii Mwingira

    Ni vema viongozi tukajifunza kumalizia yale tuliyoyaanzisha kwenye maeneo tuliyotoka kabla ya kuhamia kwingine. Mtukufu Simbachawene kwa kishindo kikuu, ulitoa maagizo kwamba Mtume na Nabii Mwingira atafutwe Popote alipo na ahojiwe kuhusiana na kauli zake kuhusu kunusurika kuuawa mara 3 na...
  4. Mystery

    Jeshi la Polisi nchini, msimtishe Askofu Mwingira, bali zifanyieni kazi tuhuma nzito alizozitoa

    Jukumu namba moja la Jeshi la Polisi nchini, ni kuwalinda Raia na mali zao. Katika mahubiri aliyoyatoa katika sikukuu ya Krismas, Askofu Mwingira wa kabisa la Efatha nchini, alitoa tuhuma nzito Sana kwa vyombo vya serikali, kuwa alinusurika kuuawa mara 3 na akaendelea kueleza kuwa hata yule...
  5. R

    Jumanne Muliro aache kupaniki suala la Askofu Mwingira, badala yake asome PGO

    Nimemsikiliza Jumanne Muliro Naona kama amepaniki na tayari anahukumu badala ya kuonesha nia ya kufahamu ukweli anapomwita Askofu Mwingira kufika polisi kufanya mahojiano juu ya kauli yake. Anaonesha wazi kubeba hisia kama si za kidini basi za kujipendekeza kwa wenye mamlaka kama ilivyo kawaida...
  6. B

    Aungwe Mkono Askofu Mwingira kukemea Maovu

    Wamesikika watumishi wa Mungu wakikemea maovu hadharani. Kasikika Mzee wa Upako, Askofu Shoo, Askofu Mwingira na wengi wengine: Maaskofu wataka haki kwa kila mtu Kati ya binadamu na Mola, sifa na heshima zote ni kwa Mola: Wakanwe hadharani hawa wenye kuwakilisha maslahi yao: Vita hivi...
  7. Suzy Elias

    Waziri wa Mambo ya Ndani aagiza Polisi Kanda Maalum ya Dar kumsaka na kumhoji Askofu Mwingira

    "...ni ajabu kama yote hayo alitendewa na bado hakuwasilisha malalamiko kwenye vyombo vya dola inaleta ukakasi." "...hivi kweli utendewe yote hayo muda wote huo ndiyo usubiri hasi Krismasi useme?!" Amehoji Simbachawene. "....kwasababu yupo hapa Dar es Salaam na ametoa tuhuma nzito namna ile...
  8. figganigga

    Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

    NUKUU ZA ASKOFU MWINGIRA: 1. "Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali." 2. "Mali zangu zenye thamani ya 10 bilioni yakiwemo Matrekta yaliteketezwa Shambani kwangu." 3. "Dereva wangu alihusishwa katika mauaji na nilipogundua nilimnyang'anya simu." 4. "Dada aliyetoa taarifa za...
  9. Suzie

    Mwingira wa EFATHA awaita Viongozi ya Serikali ni washenzi

    Haya anayasema saa hii wakati anatoa mahubiri yake hapa kanisani. Anadai ameonyeshwa serikali wamemtuma mtu aje hapa kanisani ku spy ndipo alipoanza wewe uliyetumwa ni mshenzi na mambo yako ni ya kishenzi sababu waliokutuma ni washenzi. Haya ngoja nirudi kupata mahubiri nitarudi tena
Back
Top Bottom