Askofu Mwingira kauliza swali. Karibuni kwa majibu

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,408
Screenshot_20230126-201637.png


N.B. Naomba wote mnaotaka kutoa comment kwenye uzi huu mjibu swali la askofu na si vinginevyo
 
This is nonsensical.... Haya hayana tofauti na kauli ya Kwamba wazuri hawafi.....

Huu ni muendelezo wa kupigana na Marehemu wakati walio Hai wanaendelea kukutafuna...

Alisema 2 Pac...., They say it's the white man I should fear, But it's my own kind doin' all the killin' here.
 
Swali la kijinga kwa kuwa limekuchoma....kuna kundi halitaki kabisa kusikia marehemu akitajwa kwa madhaifu yake ila ukweli utabaki palepale kwamba magufuri alikuwa ni mtu wa hovyo.....kuna kundi la graduate lipo mtaani wamenyimwa ajira za serikali kwa sababu walikuwa wakimsema magufuri kwenye mitandao ya kijamii, yaani yule mzee alipenda kusifiwa hata kama ameharibu....MAMA SAMIA NDIE MWALIMU WA SIASA TANZANIA
 
Back
Top Bottom