Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
NUKUU ZA ASKOFU MWINGIRA:

1. "Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali."

2. "Mali zangu zenye thamani ya 10 bilioni yakiwemo Matrekta yaliteketezwa Shambani kwangu."

3. "Dereva wangu alihusishwa katika mauaji na nilipogundua nilimnyang'anya simu."

4. "Dada aliyetoa taarifa za mipango ya kuuawa kwangu aliuawa Rombo Hotel Shekilango Dar es Salaaam."

5. "Mwaka unaokuja Watanzania watakuwa Salama."


26/12/2021.

Stay tuned.

IMG_20211226_175555_486.jpg

Mtume na Nabii Josephat Mwingira ni Mtumishi wa Mungu na kiongozi wa huduma ya Efatha Ministries nchini Tanzania.

Pia, soma:

Polisi Dar yampa masaa 24 Askofu Mwingira ili ajisalimishe kwa Mahojiano

Uchaguzi 2020 - Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

 
Duh. Alishawahi kupiga kelele popote pale. Ama aliendelea kuyategemea majeshi ya mbinguni hadi yaliposhinda.
Alipiga sana kelele, na ndio maana hata mashamba yake kule Rukwa, alifanyiwa sana figisufigisu, na awamu ya tano!!ki ukweli ile haikuwa serikali kabisa, na ndio ndio maana watesi hao sasa wanapata shida sana kwani hawakuamini kama ingeweza kumalizika kirahisi hivyo.
 
Duh. Alishawahi kupiga kelele popote pale. Ama aliendelea kuyategemea majeshi ya mbinguni hadi yaliposhinda.
Wengi walikuwa wanasema uhuni wanaotendewa.Cha ajabu ilikuwa inatolewa sentensi nyepesi na ya kipuuzi...(eti)..."nani atake kukuua wewe?Kama serikali ikitaka kukuua haishindwi"...!Tuliyoyashuhudia baada ya maneno hayo ya kejeli ni huzuni kwa wapenda amani.
 
Back
Top Bottom