Search results

  1. Deejay nasmile

    Free basic inagoma kusurf bure, tatizo nini?

    Mwanzo nilikuwa hata kama sina bando nikiwa na line ya halotel naweza kuingia baadhi ya sites kama JF buree kabisa...lakini saiv inakataaa. Nimejarib kubadili line ya mtandao mwingine nako ni holaaa!! Vp huduma imesitishwa au nini shida?? Wajuvi mnisaidie.
  2. Deejay nasmile

    Ulijiunga lini JF? Uzi wako upi unaukubali?

    Mimi kama nasmile.nilijiunga 2011 Uzi wangu ninaokubali ni ule ni maswali gani hayajibiki duniani https://www.jamiiforums.com/threads/ni-maswali-gani-unahisi-hayajibiki-duniani.651919/
  3. Deejay nasmile

    Natoa offer ya ukumbi na muziki kwa wote wenye birthday party mwezi november mpaka desemba kwa wakazi wa dar es salaam

    Wakuu habarini, Nimeamua kutoa punguzo kwa members wa JF au rafiki zao kwa wale wote wanaohitaji kufanya party fupi ya birthday au event yeyote isiyozidi watu 100 kwa muda wa masaa 2 hadi 3. 1. Utapata mziki pamoja na dj/mc 2. Ukumbi/eneo la kufanyia event yako. 3. Parking ya kutosha. 4...
  4. Deejay nasmile

    Siku nikifa au ukifa nani atawajulisha watu humu JF

    nimewaza na kujiuliza sana.... Nani atatangaza/kujulisha kuhusu kifo CHANGU/CHAKO humu jamvini... Au ndo mtaenda na CODE
  5. Deejay nasmile

    Amini usiamini..binadamu wote wanapata raha sawa na shida sawa yaani DRAW hatuchekani

    Uwe maskini Uwe tajiri Uwe tilionea Uwe sirionea Uwe wa jana Uwe wa kesho Uwe wa leo WOTE TUNAKULA BATA SAWA TU..NA WOTE TUNAKULA MSOTO SAWA TU!! Tunatofautiana -MUDA WA KUANZA au KUMALIZA -MAHALI ULIPOANZIA AU ULIPOMALIZIA -KIWANGO ULICHOANZA NACHO AU ULICHOMALIZIA -IMANI ULIYOANZA NAYO AU...
  6. Deejay nasmile

    Aliyewaambia watz kunywa supu na chapati mbili ndio huyo huyo aliyewaambia hivi.....

    -Ukimaliza kuoga kama maji yamebaki unajimwagia miguuni -ukienda kanisani kutoa sadaka unaomba chenji kabisa hukohuko ulipotoka -kuwa ijumaa ni siku ya biriani -kuwa mwanaume hapaki mafuta makalioni -vyombo vya udongo wanatumia wageni tu kulia chakula - - - -
  7. Deejay nasmile

    Hizi Bitcoins na Cyprocurency ni vitu gani? Naombeni muongozo

    Kiufupi hii kitu sina ujuzi nayo kabisa yaani ni 0% Naona kila siku kwenye mitandao watu wanaongelea sasa sielewi kabisa. Je, ni biashara? Bitcoin ni nini? Crypocurreny ni nini? Watu gani wanaruhusiwa kujiunga/kumiliki? Gharama zake na faida zake je? Naombeni muongozo
  8. Deejay nasmile

    Movies zilizotoka 2022 toka hollwood hizi hapa...bando lako tu

    Weka bando...chagua mzigo unaoutaka then ushushe.... Ukitaka kunipa ya vocha unakaribishwa pia...ili niendelee kuwatafutia vitu vitamu zaidi.... http://103.222.20.150/ftpdata/Movies/Hollywood/2022/
  9. Deejay nasmile

    UZEMBE:NAMUNGO VS MBEYA KWANZA KUHAIRISHWA

    inawezekana vp manispaaa ina gari moja tu la wagonjwa... inakosa ambulesi katika mechi muhimu kama hii Au ni hujuma tu ili mbeya kwanza wapate ponti za bure Mechi kuhairishwa kwa sababu ya kutokuwepo gari ya wagonjwa ni sheria ya kipuuzi..gari lilipata dharula ya kupeleka mgonjwa mechi si...
  10. Deejay nasmile

    Natafuta smartphone nina tsh 120k

    Iwe infinix au samsung kali Isiwe na tatizo Iwe mali yako halali Iwe Dar Iwe infinix au samsung Iwe inauzwa tsh 120k_130k Asanteni 0627474141
  11. Deejay nasmile

    panga budget yeyote kwa kiasi hiki cha pesa..ili iishe leo leo

    Hii pesa kama ni wewe inaishia kwenye nini na nini
  12. Deejay nasmile

    Hivi Hassan na Hussein ni jina moja au mawili tofauti?

    Naona kuna watu wanaitwa Hassan wengine Hussein sasa sijajua ni watu wanakosea kutamka au ni majina tofauti.
  13. Deejay nasmile

    Mwenye shida ya ela ya sikukuu..njoo uniuzie smartphone..kuna 120000 hapa haina kazi

    Simu iwe katika good condition.isiwe na shida yoyote....narudia tena isiwe na shidaa teyote....kuna 120000 hapa...isiwe tecno Kama huna soma kimya kimya na upite pembeni.. Bajeti ni 120k nilonayo mfukoni hapa
  14. Deejay nasmile

    Wasanii wengi walioimba /wanaoimba mambo ya anasa/bata wanaishia kufa ghafla ghafla tu

    Kila mtu ameumbiwa kifo..lakini sometime nahisi hawa wasanii mambo wanaimbaga yanafanyika/wanayafanya kweli ndio maana mwisho wao hua mbaya..yaani wanaugua kidogo tu chalii...au wengine unaamka asubuh unasikia tu mara ajali,mara wamechomana visu yaani dah.nina mifano michache...
  15. Deejay nasmile

    Huyu jamaa unahisi kapatwa na nini?

    Kafumania Kafumaniwa Presha ya Mkopo wa benki Furaha ya Kupata ajira Kaibiwa Katuma ela nauli afu hajafika Kaibiwa ela ya kamati ya harusi Au kafanyaje?
  16. Deejay nasmile

    Msaada wa kunitajia Series zinazofanana na Breaking bad au prison break

    Kwa wale walizoziona prison break au breaking bad Naomba mnisaidie kunitajia movies zingine zenye maudhui kama yale.. Yaani akili nyingi,uharifu,ubabe n.k
  17. Deejay nasmile

    Tony Rashid vs Mahlangu ulingoni tena

    Ijumaa hii,25 feb 2022 wanarudiana tena..ikumbukwe pambano la kwanza Tony alipigwa. Sasa sijui safari hii anatuwakikisha vipi Watanzania
  18. Deejay nasmile

    INAUZWA Vifaa vya muziki vinauzwa booster, mixer, spika n.k

    Vifaa ni vipya kabisa.. bei ni nafuu kulingana na kifaa unachotaka.. Mziki kwa ajili ukumbini, uwanjani, kanisani na kadhalika.. Karibuni
  19. Deejay nasmile

    Camera Nikon au canon DSRL camera used inahitajika

    Bei ya mteja ni 400k Iwe nikon d 3100,3200 l,3300 na zinazoendana na hizo... Au canon Bajet ya mteja n 400k. Kama unayo na haina shida yoyote nichek 0679028418...
  20. Deejay nasmile

    Kufunga ndoa ni kuwatangazia umma kuwa siku hiyo ni mnaenda ku-banjuka tu?

    Hivi kuna watu ambao USIKU WA siku ya ndoa hawa BANJUKI?? Note: Wote wako vizuri kiafya
Back
Top Bottom