Hizi Bitcoins na Cyprocurency ni vitu gani? Naombeni muongozo

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
Kiufupi hii kitu sina ujuzi nayo kabisa yaani ni 0%

Naona kila siku kwenye mitandao watu wanaongelea sasa sielewi kabisa.

Je, ni biashara?
Bitcoin ni nini?
Crypocurreny ni nini?
Watu gani wanaruhusiwa kujiunga/kumiliki?
Gharama zake na faida zake je?

Naombeni muongozo
 
Bwana mdogo upo nyuma sana kwenye ulimwengu wa leo! Au upo shamba Kibaigwa unakunywa maziwa mtindi? Baada ya kuchangamsha genge naomba wajuzi mjitokeze maana hata mimi sijui lolote kuhusu hayo mambo...namshukuru ndugu yetu kujitoa mhanga ili wengine tutoe tongo tongo pia.
 
Bwana mdogo upo nyuma sana kwenye ulimwengu wa leo! Au upo shamba Kibaigwa unakunywa maziwa mtindi? Baada ya kuchangamsha genge naomba wajuzi mjitokeze maana hata mimi sijui lolote kuhusu hayo mambo...namshukuru ndugu yetu kujitoa mhanga ili wengine tutoe tongo tongo pia.
Ingia humo kuna free course www.teachyourselfcrypto.com humu JF wapotoshaji ni wengi, a lot of negativity na ujuaji
 
baada ya kutusaidia ndio umezidi kutuchanganya ambao hatujuia hayo mambo....yani umechangia kana kwamba wote tunajua hivo vitu..


pointi yangu ni kutaka kujua ni ni vitu gani hivo...

Yaani assume mtu aliyefungiwa ndani miaka 30 hivi bila kupata updates zozote zinazoendelea huku nje mtaani..alafu atoke nje leo utamwelekezaje kuhusu hizo mambo..
Au unahisi tu ukimuambia nenda kafanye MINING,REMITANO SIJUI atakuwa amekuelewa??
Huu ni ujuzi kamili kama ilivyo ujuzi mwingine wowote. Inakubidi utumie muda kujifunza ili ujue. Utakachopata hapa ni intro kidogo tu. Anza na huu uzi upate ABC Historia ya crypto currency na safari yake huko mbeleni kwenye sarafu ya Bitcoin na nyingine
 
poa ngoja nikaupitie huo uzi
Ukiweza upitie na huu.
 
Kiufupi hii kitu sina ujuzi nayo kabisa yaani ni 0%

Naona kila siku kwenye mitandao watu wanaongelea sasa sielewi kabisa.

Je, ni biashara?
Bitcoin ni nini?
Crypocurreny ni nini?
Watu gani wanaruhusiwa kujiunga/kumiliki?
Gharama zake na faida zake je?

Naombeni muongozo
Nikiona mtu kataja bitcoin hua nataman kulia maaana nliifsham 2012 ikiwa chini ya dola moja nikataka kununua za laki 2 baadae mtu akaja kuponda na mnakumbuka ilikuwa mambo ya desi yapo hot nikaambiwa utapigwa nikaacha kweli. Nlikuja kushtuka mwaka juzi bitcoin moja ni kama milioni 145 huku rafiki yangu anazo 11
 
Kiufupi hii kitu sina ujuzi nayo kabisa yaani ni 0%

Naona kila siku kwenye mitandao watu wanaongelea sasa sielewi kabisa.

Je, ni biashara?
Bitcoin ni nini?
Crypocurreny ni nini?
Watu gani wanaruhusiwa kujiunga/kumiliki?
Gharama zake na faida zake je?

Naombeni muongozo
Tujue sote
 
Hello, Habari njema kutoka Tickmill ni kwamba Sasa unaweza deposit na withdraw kwa kupitia M-PESA TANZANIA , Hii ni instant Yani ndani ya dakika 5 muamala wako unakuwa umekamilika na Wala hatumii agent Kama broker wengine,,

Tickmill ni moja ya broker wazuri kwenye hii industry ya Forex , kwanza Spreads Ni ndogo Sana , hakuna manipulation ya soko , ukiachana na Hilo Tickmill anatoa welcome bonus ya $30 ambayo anapata kila mteja mpya anayejiunga na Tickmill , wale wasiojua maana ya bonus Ni mtaji ambao broker anakuwekea kwenye account yako ili uanze kutrade , hauna masharti ukikuza unaweza kuwithdraw . kufungua account bonyeza link hapo chini Kisha chagua welcome bonus account
 
Mwaka 2008 wakati bitcoin inaanzishwa, ilijitokeza fursa ya kujipatia sarafu kwa kuchimba (mining) kupitia computer bure. Wachache waliamini wakachimba ila wengi walipuuzia kwa kuwa hazikuwa na thamani ya pesa (monetary value) kwa wakati huo. Wale waliochimba wamenufaika kwa kuuza sarafu walizochimba.

Miaka 14 baadaye imejitokeza tena fursa ya kujipatia coin za RENEC kwa kufanya mining.

1. Kujisajili na kuchimba ni bure.
2. Hakuna ulazima wa kumuunga mwenzako.
3. Coin ikizinduliwa waweza kutoa pesa kwa njia ya simu au benki.

Kama upo willing, nicheki DM kwa maelezo zaidi na jinsi ya kujiunga njoo DM ni buure bila hata 50

Pia waweza kutembelea ukurasa wa instagram Heisslyman Msaba
 
Back
Top Bottom