bitcoins

  1. Deejay nasmile

    Hizi Bitcoins na Cyprocurency ni vitu gani? Naombeni muongozo

    Kiufupi hii kitu sina ujuzi nayo kabisa yaani ni 0% Naona kila siku kwenye mitandao watu wanaongelea sasa sielewi kabisa. Je, ni biashara? Bitcoin ni nini? Crypocurreny ni nini? Watu gani wanaruhusiwa kujiunga/kumiliki? Gharama zake na faida zake je? Naombeni muongozo
  2. Nafaka

    NSA wanawezaje kutrack na kuconsificate bitcoins?

    Moja ya sifa ninazosikia kuhusu bitcoin, ni kwamba ni uncentralized, hivyo huwezi kutrack mtumiaji. Lakini kwa sasa kuna matukio kadhaa ya NSA kutrack wamiliki wa bitcoin, pia wameshikilia bitcoin kadhaa za watu ambao wanadai walifanya ulaghai au walizipata kiwizi au freud. Najiuliza...
  3. Allist

    SoC01 Mifumo yetu ya malipo, Benki, utumaji pesa na ulipaji Kodi kuendana na Kasi ya Teknolojia (kutumia Blockchain technology)

    Mifumo yetu ya malipo, Benki, utumaji pesa na ulipaji Kodi iendane na spidi ya Teknolojia (kutumia Blockchain technology). Blockchain technology ni teknolojia mpya iliyogunduliwa mwaka 2008 na kushika kasi kuanzia 2014, ni mfumo madhubuti ambao ni ngumu Ku hack na kuiba data au pesa. kwa...
  4. chizcom

    Nchi nyingi zimeanza kulalamika kuhusu mining Bitcoin kwenye matumizi umeme

    Leo bbc imetoa ripoti huko nchini wingereza kukamata mtu ambaye alikuwa mwizi wa umeme kwa ajili ya kuvuna bitcoin. Bitcoin inakadiliwa kuwa inatumia vifaa vya graphic card kubwa ambazo zinafanya utendaji mkubwa wenye nguvu kubwa ya umeme ikiwa na GPU kubwa. Kuna nchi zina lalamika kuwa...
  5. M

    Msaada kununua bitcoins

    Wakubwa mwenye uwezo wa kuninunulia bitcoin za thamani ya $50 mtandaoni naomba anicheck pm tafadhari
  6. Daremall

    Good News! Daremall becomes the first Ecommerce site to accept Bitcoins payment in Tanzania

    Daremall.com an ecommerce site based in Tanzania has been launched and became the first Ecommerce site to accept cryptocurrency in Tanzania. Users can place orders and pay seamlessly using Bitcoin, Bitcoin cash,Litecoin and Ethereum. Other payments methods available in this site are; Cash On...
Back
Top Bottom