inagoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. realMamy

    JamiiForums Tanzania TRA INNOVATION PORTAL INAGOMA KUJISAJILI KuPITIA TIN NUMBER.

    TRA tunaomba warekebishe Changamoto iliyopo kwenye Innovation portal Yao kwani imekuwa ikisumbua kuingia ni muda Sasa. Kama kweli wanahitaji mawazo Bunifu inabidi wawe na njia hata tatu za kupokea maoni iwapo Moja itakuwa inasumbua. Nina Imani ni wasikivu na watafafanya. Sehemu kubwa inayosumbua...
  2. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Tamko kuhusu JamiiForums kuendelea kuzuiliwa kupatikana nchini Tanzania

    TAARIFA KWA UMMA Mnamo Septemba 6, 2025, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilisitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums na kuzuia upatikanaji wa jukwaa kwa siku 90, kwa madai ya ukiukwaji wa Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta. Pamoja na kutambua athari kwa haki ya...
  3. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nimewin milion 8 kampuni ya 1 win ila inagoma kutoka wakuu hii kampuni ni ya kitapeli au

    Naombeni msaada wenu wazee nimeshinda pesa 8m kampuni ya 1win naona inagoma kutoka aisee mods naombeni huu Uzi usihamishwe kokote nahitaji kupata msaada aisee
  4. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Msaada Laptop inagoma kuwaka

    Wakuu habar Naomba msaada laptop aina ya hp inaandika Boot device not found. Inaishia hapo kwenye maandishi
  5. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania KERO Mifugo inagoma kunywa maji yanayotoka Bwawa la Swaswa (Dodoma) lakini yanatumika kumwagilia mbogamboga

    Dodoma inazidi kukua kwa kasi, baadhi ya vinavyochangia ukuaji huo ni uwepo wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tangu Mwaka 2007 na Serikali kufanya maamuzi ya kuwa Makao Makuu kwa vitendo. Ukuaji huu wa kasi umesababisha ongezeko la mahitaji ya ardhi kwa ajili ya makazi na biashara, huku baadhi ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nafsi yangu inagoma kusafiri na treni ya SGR, napata hisia sio salama na ni suala la muda yatatokea ya kutokea

    Hii trend ni trend ya kasi na hivyo inahitaji tahadhari na umakini mkubwa lolote lisitokee ikiwa katika speed kali. Binafsi sina imani na umakini wetu katika kuendesha hii treni na hizi zinazoitwa hujuma ndio kabisa zinanifanye nione usalama ni mdogo na ni swala la muda tu kabla la kutokea...
  7. analysti

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hujuma Kubwa SGR: Inagoma kukata tiketi

    Rais Samia, kuwa makini na watumishi wa SGR, mfumo unagoma kukata ticket. Process ya kukata ticket, inaenda mpaka unafikia hatua ya kuchagua seat, ukishachagua seat unapotaka kuelekea mbele kwa ajili ya malipo, mfumo unazunguka tu. Ukisema uanze upya unakuta ile seat uliyokuwa umeichagua...
  8. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal inagoma kuomba nafasi ya kazi

    Wakuu nataka kuomba kazi ya drive Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Ila nashangaa mfumo unagoma. Naomba tips namna ya kujaza kwenye kipengele cha "program name" na "Program category" Bila shaka hivi vipengele ndivyo vinavyonikwamisha. Aliyefanikiwa kuomba hii post naomba anichungulie hizo sehemu...
  9. Jokeri

    JamiiForums Tanzania Msaada simu yangu inagoma kuinstall App nilizo download kwenye Google Chrome na nilizo rusha kwa njia ya Xender

    Nimeluhusu sehemu zote zihusianazo na security & install unknown apps. kila nikijaribu ku install inaandika hivi 👇 Msaada plz.
  10. Godee jr

    JamiiForums Tanzania MacBook Air inagoma kuwaka

    Wajuzi wa hii laptop naombeni msaada. Nilikua naitumia then nikatoka nje. Kurudi nakutana na hii hali. Msaada wa kujua tatizo wakuu
  11. T

    JamiiForums Tanzania Yaani kombination ya Oscar Oscar na baba Level inagoma kabisa

    Nimejaribu kuwasikiliza hawa ndugu ukweli ni kwamba ni kama hawawezi kabisa kufanya kipindi pamoja kwani wana tofauti kubwa sana za kimitazamo na kimisimamo mmoja anajenga hoja kwa kutumia argument za kisomi na mwingine anajenga hoja akitegemea argument za kisela. Mwajiri wao atafakari upya ili...
  12. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Free basic inagoma kusurf bure, tatizo nini?

    Mwanzo nilikuwa hata kama sina bando nikiwa na line ya halotel naweza kuingia baadhi ya sites kama JF buree kabisa...lakini saiv inakataaa. Nimejarib kubadili line ya mtandao mwingine nako ni holaaa!! Vp huduma imesitishwa au nini shida?? Wajuvi mnisaidie.
  13. saidi01

    JamiiForums Tanzania Msaada guys, Windows 7 inagoma kustart

    WINDOWS 7 Inagoma kustart na siba utaalam Wa computer, msaada guyz.
  14. ShukuNundu

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutatua shida hii Ajiraportal

    Habari, kwa anayejua suluhu ya "application failed" kwenye ajiraportal ilihali upo kwenye category sahihi na ulishawahi ku apply awali but for now inagoma mno. Nani alishapata solution?
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Sumsung A20 inagoma kuinstall App

    Natokaje hapa wana teknolojia? Simu inakuwa Pending muda wote nikiwa nafanya installation
  16. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Msaada mafundi naflash infinix hot 9 play x680 inagoma

    Wakuu habari zenu, Nimeletewa INFINIX hot 9 play x680 tatizo Ni frp Nimejaribu kuflash kwa Sp flash tool ujumbe unaokuja ni huu kwenye picha hivyo naomba MSAADA wenu tutagawana hii pesa ya bando.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Instagram account ya biashara inagoma

    Habarini ndugu zangu. Mwenye ujuzi naomba anisaidie, account yangu ya biashara ambayo nilikua na promote products zangu ghafla inakataa inanipa ujumbe huu.
Back
Top Bottom