Natoa offer ya ukumbi na muziki kwa wote wenye birthday party mwezi november mpaka desemba kwa wakazi wa dar es salaam

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
Wakuu habarini,

Nimeamua kutoa punguzo kwa members wa JF au rafiki zao kwa wale wote wanaohitaji kufanya party fupi ya birthday au event yeyote isiyozidi watu 100 kwa muda wa masaa 2 hadi 3.

1. Utapata mziki pamoja na dj/mc
2. Ukumbi/eneo la kufanyia event yako.
3. Parking ya kutosha.
4. Ulinzi uhakika.

Mahali ni AMANI CENTRE NIGHT CLUB ipo Gongo la mboto. Karibu na geti la KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY IN TANZANIA..

Utachangia tsh 30000 tu ya umeme
Na vinywaji ni lazima ununue kwetu
Asante na karibuni
 
Wakuu habarini ...
Nimeamua kutoa punguzo kwa members wa jf au rafiki zao kwa wale wote wanaohitaji kufanya party fupi ya birthday au event yeyote isiyozidi watu 100 kwa muda wa masaa 2 hadi 3..

1. Utapata mziki pamoja na dj/mc
2.Ukumbi/eneo la kufanyia event yako.
3.Parking ya kutosha.
4.Ulinzi uhakika.

Mahali ni AMANI CENTRE NIGHT CLUB ipo Gongo la mboto. Karibu na geti la KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY IN TANZANIA..

..Utachangia tsh 30000 tu ya umeme
Na vinywaji ni lazima ununue kwetu
Asante na karibuni
Ofa Safi sana hi
 
Hii imeeleweka vizuri sana 👏
 
Wakuu habarini,

Nimeamua kutoa punguzo kwa members wa JF au rafiki zao kwa wale wote wanaohitaji kufanya party fupi ya birthday au event yeyote isiyozidi watu 100 kwa muda wa masaa 2 hadi 3.

1. Utapata mziki pamoja na dj/mc
2. Ukumbi/eneo la kufanyia event yako.
3. Parking ya kutosha.
4. Ulinzi uhakika.

Mahali ni AMANI CENTRE NIGHT CLUB ipo Gongo la mboto. Karibu na geti la KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY IN TANZANIA..

Utachangia tsh 30000 tu ya umeme
Na vinywaji ni lazima ununue kwetu
Asante na karibuni
OK na sisi wa Masaki utatufuata huku kwa usafiri wako na kuturudisha kwa gharama zako
 
Back
Top Bottom