Search results

  1. I

    Wananchi wa Tanzania tunakupongeza Rais Samia kwa mazuri unayoyatenda

    Wananchi wa Tanzania tunakupongeza kwa mazuri ambayo unayatenda. Usikatishwe tamaa na kelele sisi tulioishi muda mrefu na kujua mwenendo wa nchi tunakuona unaenda vyema sana. Furaha, amani, mshikamano miongoni mwa watanzania ni wa hali ya juu. Uhuru wa kuabudu, uhuru wa kutoa maoni, hata uhuru...
  2. I

    Maboresha makubwa hospitali ya Muhimbili

    Leo nimepita hospitali ya Muhimbili nimefurahishwa sana na maboresho ya miundombinu kuanzia utaratibu wa kuingia na kutoka magetini, vibao vya ishara, sehemu za kupumzika wageni/wagonjwa, huduma nzuri ya Askari wa SUMA JKT, majina ya wards nk. Hongera sana uongozi wa Hospitali ya Muhimbili...
  3. I

    Kuna jambo linasahaulika kuhusu Rais Samia

    Mambo mengi yametajwa kuhusu mafanikio ya Mhe. Samia Suluhu Hassan katika miaka hii miwili, lakini kuna jambo kubwa sana ambalo bila kulisema hayo mengine yote ni bure na hayana maana. Ni kuhusu kujenga FAMILIA. 1. Rais ameunganisha familia- Watu wengi walikuwa magerezani, mahabusu...
  4. I

    UCHAFU MTAA MBEZI A & B

    Tunaomba msaada katika hili
  5. I

    Suala la crane kujaza maji bwawa la Nyerere limeonesha ukilaza na ushabiki mbaya

    Waziri Mhe. Makamba ameongea akaeleweka vyema kabisa. Wakaja wabongo na ''a garbled story'' na kuzua mtafaruku mkubwa. Nilichokiona watu wengi uwezo wao wa kusikia na kuelewa ni mdogo sana; na kuna watu wengi wameenda shule ila uwezo wao wa kuchambua mambo ni mdogo sana. Makamba mbunge wa miaka...
  6. I

    Rubani huyu anastahili pongezi

    Habari hii haikuandikwa na vyombo vingi vya Habari. Mwezi March mwaka huu (2021) Kulikuwa na ndege aina ya Airbus A380-800, ilikuwa inasafiri kutoka Tanzania kwenda Tanzania Mpya . Ndege hii ilikuwa na rubani mkuu na Rubani msaidizi . Ilijaa abiria waliokuwa na matumaini makubwa ya kufika...
  7. I

    Paul Christian Makonda anafaa kuwa Waziri

    Paul Makonda alipewa nafasi ya ukuu wa wilaya na Rais JK akafanya vyema sana, Rais JPM baadaye akampa ukuu wa mkoa Dar. Hapa pia amefanya vizuri sana inategemea mzani unaotumia kumpima (sisi tunampima kwa ilani ya CCM). Ngazi hii pia anapaswa kuivuka, msukumo wa kuhamia ngazi nyingine...
  8. I

    Mheshimiwa Rais, naomba kazi ya Ukurugenzi wa Halmashauri

    Mheshimiwa Rais, Ninaomba kazi ya ukurugenzi wa halmashauri hasa katika maeneo ya kilimo au wafugaji kwasababu ninataka kutumia uzoefu na elimu yangu katika kuimarisha ushirika wa uzalishaji mali katika kilimo au ufugaji. Nina uzoefu wa muda mrefu katika kujenga uwezo wa taasisi ndogo ndogo za...
  9. I

    Kuanzisha Biashara Mpya (ofa ya serikali)

    Katika kuongeza ajira katika sekta binafsi na serikali kuwekeza ili kupata kodi baadaye, napenda kuunga mkono jitihada za Rais Magufuli kusaidia watanzania kukuza uchumi wao kwa kupendekeza mambo yafuatayo: 1. Serikali iruhusu mtu yoyote kuanzisha biashara yoyote halali na kupewa tax break kwa...
  10. I

    Business development unit ndani ya Serikali

    KUANZISHA BUSINESS DEVELOPMENT UNIT (BDU) Kuungwa Mkono Pongezi nyingi sana kwa serikali kwa mambo makubwa yanayoendelea kufanyika nchini. Hayahitaji hata kutangazwa kila mtu anaona na kusikia hata kuyagusa kwa mikono. Viva Rais John Magufuli kwa uongozi thabiti na wenye malengo. Kuna umuhimu...
  11. I

    Jeshi la Polisi Lawamani

    Jeshi la Polisi lalamikiwa kuwanyima fursa wananchi kujipatia ujuzi wa kujua aina ya silaha, milio ya silaha na jinsi ya kuishi kwa wasiwasi na kujficha pesa kwenye maungo yao. Wananchi wengi wanasema miaka ile kila siku kulikuwa na matukio ya ujambazi kila mahali, hivyo walizoea wakisikia...
  12. I

    Serikali imeshindwa kushughulikia mgawo wa umeme

    Serikali, Tunaomba mtuondolee kero ya mgao wa umeme hasa hapa Dar es Salaam. Miezi kama hii sisi hatukuzoea kusikia majenereta kila mahali Kariakoo, hivi sasa kila ki saluni cha kunyoa nywele kina jenereta. Umeme unakatika hovyo hovyo kwa siku hata mara sita. Siku nyingine unakatika siku nzima...
  13. I

    Kero za Serikali hii

    Wanaharakati, Kuna inshu moja inanikera sana katika serikali ya awamu hii mpaka nataka nihamie vyama vya upinzani. Kila unapopita ni ujenzi wa miundombinu unaendelea hadi imekuwa kero. Leo najipitia njia ya makaburini Sinza mara pap imefungwa ujenzi unaendelea, nikazunguka njia ya Bagamoyo...
  14. I

    MISCELLANEOUS AMENDMENTS) (NO.3) ACT, 2019

    Amendments to the Companies Act, Copyright & Neighboring Rights Act, Films and Stage Plays Act, Non-Governmental Organizations Act, Societies Act, Statistics Act, Tanzania Shipping Agencies Act and the Trustees Incorporation Act Wataalamu mliopo humu tusaidieni sisi tusio wataalamu mabadiliko...
  15. I

    Vitambulisho vya wajasiliamali (Wagufuliamali)

    Hongera Mhe. Rais kwa uthubutu na kuchukua maamuzi magumu. Tangu tumeanza kuusikia huu wimbo wa kuwatambua na kuwarasimisha wamachinga ni miaka mingi sana. Hakuna kilichofanyika licha ya kuwepo taasisi lukuki za kiserikali ambazo zingeweza kusimamia zoezi hilo. Kama kawaida yako umevuka ule...
  16. I

    CHADEMA: Kwa nia njema tu

    Ni chama chenye bahati njema au mbaya kutegemea unaangalia ukiwa umesimama pembe ipi. Chama hiki kimesheheni mashabiki na wapenzi zaidi kuliko wanachama. Wanachama ni wale waliojiunga wakiaamni katika katika sera, itikadi, malengo na historia ya chama. Wao wanaonyesha uaminifu wao kwa kulipa...
  17. I

    Watu wanapokwama

    Kuna lundo la malalamiko Rais hashauriki, hasikilizi hoja za wapinzani. Lazima mtambue kuwa Rais anapokuwa Rais anakuwa ana ajenda yake ndio maana anazunguka nchi zima kuuza ajenda zake na wananchi wakizikubali ajenda zake ndio wanampigia kura kumpa ridhaa ya kutimiza ajenda zake. JPM...
  18. I

    Ukimuelewa Rais Magufuli utaenjoy

    Wateule na wafanyakazi wengi wanalalamika sana. Tatizo hawataki kujifunza na kumuelewa kiongozi wao. JPM anataka kutatua matatizo ya wananchi wake, wafanyakazi wengi wao wamezoea ''business as usual''. JPM anataka matatizo yatatuliwe ikibidi hata kutumia njia ambazo sio za kawaida, vunja hata...
Back
Top Bottom