Wananchi wa Tanzania tunakupongeza Rais Samia kwa mazuri unayoyatenda

Ichwampaka

Senior Member
Nov 19, 2018
135
109
Wananchi wa Tanzania tunakupongeza kwa mazuri ambayo unayatenda. Usikatishwe tamaa na kelele sisi tulioishi muda mrefu na kujua mwenendo wa nchi tunakuona unaenda vyema sana. Furaha, amani, mshikamano miongoni mwa watanzania ni wa hali ya juu.

Uhuru wa kuabudu, uhuru wa kutoa maoni, hata uhuru wa kutukana viongozi pia upo juu sana.....labda wale wanaopitiliza kutukana hata shetani mwenyewe anashangaa. Lakini matusi ya reja reja watu wanatukana tu kwa raha zao. Usalama pia ni mkubwa, hakuna wasiwasi wa ujambazi, ugaidi wala utekaji.

Serikali inalipa madeni ya ndani, madai ya malipo, hakuna kukatwa deni, sijui kuhakikiwa deni. Pia huna wasiwasi kuwa fedha ikiingia kwenye akaunti utakuta imechukuliwa au kupunguzwa. TRA wamekuwa wakifanya kazi kwa weledi na very friendly, wanatuma meseji kila mara kukumbusha wajibu wa kulipa kodi.

Ndugu zetu CHADEMA wanajimwaga kwa raha zao na maandamano; hakuna anayewabughudhi kwamba wawe na term limit kwa Mwenyekiti wao.

Naona Sam Nujoma rd na Old Bagamoyo rd unataka kufanya jambo jipya........

Hongera sana Rais
 
TRA wamekuwa wakifanya kazi kwa weledi na very friendly, wanatuma meseji kila mara kukumbusha wajibu wa kulipa kodi
Punguza mahaba leo hii TRA wamesambaza barua wakita kujua kila stock ya mfanyabiashara ina mali kiasi gani na wametoa siku 4 tu. Hivi ili ufanye biashara sikuizi ni lazima uwe na stock? TRA wanaleta mambo ya kizamani ambayo hayatawasaidia, naona ni unyanyasaji usio kuwa na maana.
 
• Tukiwa na vijana wapumbavu kama wewe, nchi hii itabaki maskini milele.

• Utashangaa unamsifia sa100, lakini nyumbani hata milo mitatu inakushinda
 
Punguza mahaba leo hii TRA wamesambaza barua wakita kujua kila stock ya mfanyabiashara ina mali kiasi gani na wametoa siku 4 tu. Hivi ili ufanye biashara sikuizi ni lazima uwe na stock? TRA wanaleta mambo ya kizamani ambayo hayatawasaidia, naona ni unyanyasaji usio kuwa na maana.
sasa si ndio vizuri hivyo kuliko kuvamia store 🐒
 
Wananchi wa Tanzania tunakupongeza kwa mazuri ambayo unayatenda. Usikatishwe tamaa na kelele sisi tulioishi muda mrefu na kujua mwenendo wa nchi tunakuona unaenda vyema sana. Furaha, amani, mshikamano miongoni mwa watanzania ni wa hali ya juu.

Uhuru wa kuabudu, uhuru wa kutoa maoni, hata uhuru wa kutukana viongozi pia upo juu sana.....labda wale wanaopitiliza kutukana hata shetani mwenyewe anashangaa. Lakini matusi ya reja reja watu wanatukana tu kwa raha zao. Usalama pia ni mkubwa, hakuna wasiwasi wa ujambazi, ugaidi wala utekaji.

Serikali inalipa madeni ya ndani, madai ya malipo, hakuna kukatwa deni, sijui kuhakikiwa deni. Pia huna wasiwasi kuwa fedha ikiingia kwenye akaunti utakuta imechukuliwa au kupunguzwa. TRA wamekuwa wakifanya kazi kwa weledi na very friendly, wanatuma meseji kila mara kukumbusha wajibu wa kulipa kodi.

Ndugu zetu CHADEMA wanajimwaga kwa raha zao na maandamano; hakuna anayewabughudhi kwamba wawe na term limit kwa Mwenyekiti wao.

Naona Sam Nujoma rd na Old Bagamoyo rd unataka kufanya jambo jipya........

Hongera sana Rais
chadema nao wanafanya vizuri sana hivi karibuni wamezindu Jumba la kifahari la maya midevu kwa sherehe kubwa sana kwa uhuru na utulivu sana 🐒

Yote haya yanafanyika Dr SSH akiwa kaimarisha ulinzi na usalama kwa watu wote na makazi yao 🐒
 
Mtoa mada nakuunga mkono,rais Samia kajitahidi mno,kutoka ndani ya vilindi vya moyo nasema huyu mama abarikiwe sana.
 
images (1).jpeg
 
Wewe huwezi kulifanya hilo??

Hivi ni kwa nini wengi wa Watanzania ni wajinga hivi?

Yaani hilo ni la kushangaa mtu akifanya?
 
Hizi nguvu kubwa mnazotumia kumpigia promo huyo Rais wenu, kamwe haziwezi kuibadilisha mioyo ya wale wananchi wote wenye akili timamu, na wanaoshuhudia kwa macho yao madudu yote yanayofanyika kwenye hii awamu.
 
Wananchi wa Tanzania tunakupongeza kwa mazuri ambayo unayatenda. Usikatishwe tamaa na kelele sisi tulioishi muda mrefu na kujua mwenendo wa nchi tunakuona unaenda vyema sana. Furaha, amani, mshikamano miongoni mwa watanzania ni wa hali ya juu.

Uhuru wa kuabudu, uhuru wa kutoa maoni, hata uhuru wa kutukana viongozi pia upo juu sana.....labda wale wanaopitiliza kutukana hata shetani mwenyewe anashangaa. Lakini matusi ya reja reja watu wanatukana tu kwa raha zao. Usalama pia ni mkubwa, hakuna wasiwasi wa ujambazi, ugaidi wala utekaji.

Serikali inalipa madeni ya ndani, madai ya malipo, hakuna kukatwa deni, sijui kuhakikiwa deni. Pia huna wasiwasi kuwa fedha ikiingia kwenye akaunti utakuta imechukuliwa au kupunguzwa. TRA wamekuwa wakifanya kazi kwa weledi na very friendly, wanatuma meseji kila mara kukumbusha wajibu wa kulipa kodi.

Ndugu zetu CHADEMA wanajimwaga kwa raha zao na maandamano; hakuna anayewabughudhi kwamba wawe na term limit kwa Mwenyekiti wao.

Naona Sam Nujoma rd na Old Bagamoyo rd unataka kufanya jambo jipya........

Hongera sana Rais
Usisemee nafasi za watu wote,sema mimi Ichwampaka nampongeza Magufuli.
 
Wananchi wanampongeza au nyie chawa ndio mnajipendeza?
 
View: https://www.instagram.com/reel/C4h72zTMN5C/?igsh=MWxobWhyanc3OW5wOQ==
 
sasa si ndio vizuri hivyo kuliko kuvamia store 🐒
Biashara ya sasa sio lazima kuwa na stock, biashara ya sasa sio lazima kuwa na fremu, kusafirisha mizigo ya watu sio lazima kuwa na gari nk, nk, dunia imebadirika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom