Maboresha makubwa hospitali ya Muhimbili

Ichwampaka

Senior Member
Nov 19, 2018
135
109
Leo nimepita hospitali ya Muhimbili nimefurahishwa sana na maboresho ya miundombinu kuanzia utaratibu wa kuingia na kutoka magetini, vibao vya ishara, sehemu za kupumzika wageni/wagonjwa, huduma nzuri ya Askari wa SUMA JKT, majina ya wards nk.

Hongera sana uongozi wa Hospitali ya Muhimbili chini ya Prof. Janabi. Maboresho ya muhimu tena kwa kiwango cha juu.
 
Leo nimepita hospitali ya Muhimbili nimefurahishwa sana na maboresho ya miundo mbinu kuanzia utaratibu wa kuingia na kutoka magetini, vibao vya ishara, sehemu za kupumzika wageni/wagonjwa, huduma nzuri ya Askari wa SUMA JKT, majina ya wards nk.

Hongera sana uongozi wa Hospitali ya Muhimbili chini ya Prof. Janabi. Maboresho ya muhimu tena kwa kiwango cha juu.
Malizia Kusema "Mama Anaupiga Mwingi"
 
Kalamu zetu hupenda kuandika mabaya tu, tukiona mambo mazuri twaona inda kupongeza
 
Kuna mwaka aliteuliwa mkuu hapo MNH akafanya party nilishangaaa sana ....watu wanalala chini wengine wanakufa hawajamuona Dr week hata 3....nikamuona mkuu hapo anatembelea V8....nilishangaa sana pia la nini hilo gharama zake mil 200 wakati yupo dar hapa tu ....? Mikoani ana fly !!! Naamini wanapata fungu la maboresho ...miundombinu na vifaa tiba na madawa....amina sana nawapongeza mzee kutusumbua akili zetu
 
Entry imekuwa nzuri sana ta kuvutia, mtu ukifika pale kwa mara kwanza lazima ushangae na kichwa pawe na fikra fulani za mambo mazuri unayoweza kuyakuta ndani.
 
Kuna mwaka aliteuliwa mkuu hapo MNH akafanya party nilishangaaa sana ....watu wanalala chini wengine wanakufa hawajamuona Dr week hata 3....nikamuona mkuu hapo anatembelea V8....nilishangaa sana pia la nini hilo gharama zake mil 200 wakati yupo dar hapa tu ....? Mikoani ana fly !!! Naamini wanapata fungu la maboresho ...miundombinu na vifaa tiba na madawa....amina sana nawapongeza mzee kutusumbua akili zetu
Mtaje tu jina mkuu.

Mseru au mtangulizi wake?
 
Back
Top Bottom