Search results

  1. A teller

    Najiuliza, sijui Samia nae aliiona ile picha ya Lema aliyogoma kumpa mkono Makonda?

    Kama NI kweli uteuzi umefanyika kimkakati either kumkomoa Lema au kudhoofisha chama cha chadema basi mama atakua ametukosea Sana wananchi. Sawa , uzuri wote Wana nguvu, mmoja mdomo ni mwingi mwingine vitendo vingi Wanasema mmoja ni Mwizi WA magari mwingine Mwizi WA nyumba!! Lema usiwe mnyonge!!!
  2. A teller

    Naomba kufahamu kuhusu ndoa ya aina hii

    Wakuu habarini za jioni! Nafikiria kuanza mchakato wa kufunga ndoa na huyu mchumba wangu wa tangu vidudu Hadi Sasa, kutokana na Mambo kadhaa ambayo yapo nje ya uwezo wetu, naomba kufahamu utaratibu wa kufunga ndoa ya serikali upoje? Nikiwa namaanisha process za kufunga ndoa ya kiserikali upoje...
  3. A teller

    Wahitimu na Hali hii ya sasa inayoendelea

    Ni matumaini yangu nyote mu wazima Wahitimu tulitegemea kupata ahueni katika awamu hii ya sita baada ya mama Samia kuwa Raisi wa Tanzania Lakini kwa dalili hizi za mabadiliko ya mawaziri Imani yetu inaendelea kufifia Waziri Ndalichako kapigiwa Sana kelele, madhaifu yaliyojitokeza katika awamu...
  4. A teller

    Ubaya kwa ubaya: Club ya CD De Agosto yawalalamikia Namungo FC kudhoofisha kikosi chao

    Club ya CD De Agosto ya Angola imetumia ukurasa wake wa instagram kulalamika kwamba Wenyeji wao Namungo FC wanadhoofisha kikosi chao baada ya kupewa majibu kuwa Wachezaji watano wa De Agosto hawawezi kucheza leo kwasababu wana Corona. Wachezaji wa De Agosto wanaoripotiwa kuwa na Corona ni...
  5. A teller

    Chukua hii: Usikate tamaa

    USIONE SOO! Usione soo kubeba vyeti vyako na kutafuta ajira ambazo hamnazo wanazitafsiri kama za kivivu. Ulipambania alama na GPA, huu ni wakati wa kupambania ajira. Kama hukuona aibu kubeba madaftari na vitabu kwenda shule, iweje leo uone aibu kubeba vyeti vyako? Kumbuka mawazo makubwa...
  6. A teller

    Je, ninunue pikipiki aina ipi kati ya Boxer BM 150 na TVS HLX 150?

    Habari wakuu nataka ushauri nataka kununua pikipiki binafsi kwa ajili ya bodaboda ipi iko vizuri kati ya boxer 150 na tvs150? - Kuanzia engine - Fuels - Speed - Rough road na appearance === Boxer BM 150 TVS HLX 150
  7. A teller

    Why do strokes often happen in bathroom?

    This was written by UiTM proffesor with the national sports board.He has been advising people not to wet the head and hair first when showering as this is wrong sequences. This causes the body to adjust its temperature too quickly because we are wrm-blooded. By performing this incorrect...
  8. A teller

    JF Expert Members of all time

    JF Most famous members of all time Kiranga Mshana Jr Sky Eclat Ushimen Victoire mitale na midimu Infantry Soldier Influenza Viol Zitto Bujibuji Pascal Mayalla Gyole Humble African Da'Vinci Invisible Malcom Lumumba mahondaw FaizaFoxy warumi Most trending JF members sifi leo Sijuti Return Of...
  9. A teller

    Ni yule yule Kipanya

  10. A teller

    Natafuta mwalimu wa gitaa Dodoma

    Wakuu nadhani mu wazima natafuta mwalim wa mziki anayejua kupiga gitaa vizuri,gitaa la galaton (aquatics guitar) nipo dodoma wakuu namba zangu ni 0758461664
  11. A teller

    Kwa wanaohitaji Kuku wa kienyeji karibuni

    Wakuu Wasalaam, Napenda kuwajulisha kuwa tarehe 23 mwezi huu naanza kusupply kuku wa kienyeji kutokea Singida kwa jiji la Dodoma tu. Uwezo wangu wa kusupply kwa wiki itakuwa ni kuku 250, kuku 50 kwa kila siku yaani jumamosi hadi jumatano (250). Hivyo basi nahitaji wanunuzi watano ambao kila...
  12. A teller

    Please wait me (nisubiri tafadhali)

    Iwafikie wanawake wote wapenda fedha, wasio wavumilivu katika mahusiano na wanaume wao wenye kipato kidogo. If i don't get today, i go get tomorrow please wait me, its a matter of a time. Rude boy kafanikiwa kutuaminisha kwa kiasi kukubwa ya kuwa mafanikio huletwa na kutokukata tamaa, juhudi...
  13. A teller

    SAMSUNG Galaxy J7

    Habarini wakuu wakuu msaada tafadhali.. nina simu ya samsung j7 max nimeinunua hivi karibuni inanisumbua hatari, hadi sasa ninaiinstoll wasap inagoma inaandika watsap error, nimejaribu kuistore ili ianze upya lakin baada ya muda tatizo ni lile lile linajirudia wakuu mwenye kujua mambo ya...
  14. A teller

    Rafiki yangu wa chuo kikuu

    rafiki yangu, umelala? Fumbua macho tafadhali!! Japo kidogo tu John, nikuulize, nataka nikuulize kwanini usingenitafuta labda ningekuwa na kitu cha kukupatia, usingeweza chukua maamuzi haya…ni kweli nilikuwa mbali lakini simu yangu ilifanya kazi mda wote..wewe ndiye ulikuwa rafiki yangu wa pekee...
  15. A teller

    Wasomi na ndoto za abunuasi

    Hebu vuta picha, namna ulivyosota kuipata hiyo degree yako. Miaka isiyopungua 16 imeteketea darasani! Umebeba vidumu na ufagio kama wafagiaji wa jiji ukiwa shule ya msingi. Umepiga jaramba maili kadhaa kuifata shule. Umekumbana na kashkashi za walimu ``wanoko``, ukiwona tu bandama zinacheza...
  16. A teller

    Nilishindwa kumsaidia Mariamu

    Rafiki na ndugu yangu mpendwa, Nilikuja nyumbani kwenu kama tulivyohaidiana ili nipate kukuaga lakini kwa bahati mbaya nimekukosa, nilikuja kukuaga kwa kuwa hutaniona tena kwani nasafiri safari ya mbali sana. Baada ya kusubiri sana nimeamua kurejea nyumbani na ili kufanikisha safari...
  17. A teller

    Nifanyeje kufanya biashara??

    habari wana JF mimi ni mwanachuo, mzumbe university mwaka wa kwanza taking BAF PS nilifanikiwa kupata mkopo, naomben ushauri hivi boom nikisave naweza nikafanyia biashara pasipo kuathiri masomo yangu na matumizi yangu nikiwa chuo? ni biashara gani naweza nikafanya nikiwa...
  18. A teller

    Ushauri tafadhali jinsi ya kuchagua combination kati ya hizi mbili

    Mdogo wangu ana division two yeye anataka aende EGM nimemshauri aende CBG kwani Physics aliharibu, hivi kati ya hizi comb ipi nzuri sana kwake na for his future EGM au CBG
Back
Top Bottom