Please wait me (nisubiri tafadhali)

A teller

JF-Expert Member
Feb 6, 2018
489
687
Iwafikie wanawake wote wapenda fedha, wasio wavumilivu katika mahusiano na wanaume wao wenye kipato kidogo. If i don't get today, i go get tomorrow please wait me, its a matter of a time.

Rude boy kafanikiwa kutuaminisha kwa kiasi kukubwa ya kuwa mafanikio huletwa na kutokukata tamaa, juhudi katika kufanya kazi bila kusahau uvumilivu.

Akimsihi mpenzi wake amsubiri asimuache maana akiamini atapata kesho. Manzi akamtosa mchizi lakini baadae jamaa anakuja kuwa CEO wa kampuni yake kubwa ya furniture.

Manzi anashtuka shtuka kumeshakucha, anakuja omba msamaha kwa mchizi huku akilia warudiane, jamaa anamtosa kwa dharau.
 

Attachments

  • Rudeboy_Reason_With_Me_9jaflaver.com_.mp3
    6.1 MB · Views: 4
Back
Top Bottom