Je, ninunue pikipiki aina ipi kati ya Boxer BM 150 na TVS HLX 150?

A teller

JF-Expert Member
Feb 6, 2018
490
687
Habari wakuu nataka ushauri nataka kununua pikipiki binafsi kwa ajili ya bodaboda ipi iko vizuri kati ya boxer 150 na tvs150?
- Kuanzia engine
- Fuels
- Speed
- Rough road na appearance
===
1590063522458.png

Boxer BM 150

1590063640131.png

TVS HLX 150
 
Boxer 150 na tvs 150?
Chukua boxer 150
Ilabkama ni boxer 150 na tvs 125
Chukua tvs 125
Ila kama unakaa nje ya mji na unabeba mizigo chukua haojue (sio mayai) au sanlg
Kama UKO MJINI UNAJUA KUTUNZA KITU KAMA YAI chukua boxer
Kaha hauhitaji ghalama kwenye utunzaji chukua haojue au sanlg
* kama hauna uhakika na udereva wako jifunze kwanza kuendesha taratibu ukijua ndio ukanunue*
Usinunue za wizi (tunataka jamii forums iwe na wachangiaji wengi ukiwa jela utapunguza watu hum)
Na kama una mijihela nenda kwa kina honda ktm na wengine.......
Nitarudi baadae
 
Mkuu nahitaji kununua Haojue kwa ajili ya misele na bodaboda kiasi.. naomba unipe ujanja ipi nzuri.
 
Boxer 150 na tvs 150?
Chukua boxer 150
Ilabkama ni boxer 150 na tvs 125
Chukua tvs 125
Ila kama unakaa nje ya mji na unabeba mizigo chukua haojue (sio mayai) au sanlg
Kama UKO MJINI UNAJUA KUTUNZA KITU KAMA YAI chukua boxer
Kaha hauhitaji ghalama kwenye utunzaji chukua haojue au sanlg
* kama hauna uhakika na udereva wako jifunze kwanza kuendesha taratibu ukijua ndio ukanunue*
Usinunue za wizi (tunataka jamii forums iwe na wachangiaji wengi ukiwa jela utapunguza watu hum)
Na kama una mijihela nenda kwa kina honda ktm na wengine.......
Nitarudi baadae
TVS 150 zina shida gani?
 
Back
Top Bottom