Nifanyeje kufanya biashara??

Nifanyeje kufanya biashara??

A teller

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2018
Posts
531
Reaction score
724
habari wana JF

mimi ni mwanachuo, mzumbe university mwaka wa kwanza taking BAF PS nilifanikiwa kupata mkopo, naomben ushauri hivi boom nikisave naweza nikafanyia biashara pasipo kuathiri masomo yangu na matumizi yangu nikiwa chuo? ni biashara gani naweza nikafanya nikiwa mwanafunzi ambayo ni nzuri wadau ili nitoke kimaisha kwa kutumia pesa ya boom ambayo haina long process and documentation, biashara ambayo haitachukua mda mwingi sana wa masomo yangu iwe chuoni au hata nje ya chuo?
mana kitaa sio poa wakuu na maisha ya sasa ni magumu , NAOMBENI MAWAZO YENU

nawasilisha wakuu,

katika ujenzi wa taifa
 
Back
Top Bottom