Kwa wanaohitaji Kuku wa kienyeji karibuni

A teller

JF-Expert Member
Feb 6, 2018
489
687
Wakuu Wasalaam,

Napenda kuwajulisha kuwa tarehe 23 mwezi huu naanza kusupply kuku wa kienyeji kutokea Singida kwa jiji la Dodoma tu.

Uwezo wangu wa kusupply kwa wiki itakuwa ni kuku 250, kuku 50 kwa kila siku yaani jumamosi hadi jumatano (250).

Hivyo basi nahitaji wanunuzi watano ambao kila mmoja kwa wiki namletea kuku hamsini au mteja mmoja ambae pia kila siku moja ya wiki atakuwa anapokea kuku hamsini.

Bei ya kuku ni 12000/= au 13,000 au 14000 (inategemeana) hivyo basi kwa wale wahitaji wanaweza kuanza kuweka order zao na wangependa wapokee siku gani ya wiki.

Kwa mawasiliano nipigie kwa namba +255 758461664

Nakuhakikishia kukuuzia kuku na wala sio vitoto vya kuku. Karibu.
 
Dodoma kuna sehemu nyingi wanauza tsh 13,000 Kuku aliyechomwa manake wanapatikana kwa chini ya 10,000 jumla! Fanya utafiti mkuu
 
Uza 10, 000 kwa jumla. Nimeshauri tu, maana naona utapata wateja wengi. Na kwa haraka
For now days, bei ya kuku imekua juu sana hata huko bush tunapowachukua mkuu kwa bei ya elfu 10 ndogo sana kwan pia hata kuku wenyewe ni wakubwa wenye uzito mkubwa pia
 
Dodoma kuna sehemu nyingi wanauza tsh 13,000 Kuku aliyechomwa manake wanapatikana kwa chini ya 10,000 jumla! Fanya utafiti mkuu
Mkuu bila shaka hao watakua kuku wa kisasa au chotara, me nauza pure wa kienyeji mkuu
 
Kwa tunaokula kuku dodoma mara kwa mara hizi ndio bei zake. Ni kati ya 13 na 15 kuku aliyechomwa tayari kwa kuliwa
 
Mkuu bila shaka hao watakua kuku wa kisasa au chotara, me nauza pure wa kienyeji mkuu
Kwenye suala la uchotara hapa naweza kukuunga mkono. Wapo ambao tunadanganywa ni kienyeji kumbe ni chotara au kumbe ni la kisasa lkn limekomaa sana!
 
kwa dodo

kwa dodoma kuku wengi wanaoliwa ni chotara mkuu, ningekua na access ya camera ningewapiga picha hawafananii kabsa na bei ya elfu 10
 
kwa mnaokula kuku choma,ni sehemu chache sana zinachoma pure kienyeji sehemu nyingi sana za kuchoma kuku wanachoma chotara au kuku wa mayai waliokomaaaa au kumaliza kutaga kabisa,ukimla lazima utingishe kichwa useme "huyu wa kienyeji" ila hamna ukweli.

kuku wa kienyeji wa kuchoma sio chini ya 15,000 ukikutana na kuku wakienyeji unapewa bei chini ya 15,000 ujue huli pure kienyeji. (ukibisha sikulazimishi)
 
exactly mkuu
 
Kwani huko Singida ndo sio Chotara? Nimekiwepo huko najua sana Wamejaaa Chotara tupu, kuku ni kuku kuleni tu
Kwenye suala la uchotara hapa naweza kukuunga mkono. Wapo ambao tunadanganywa ni kienyeji kumbe ni chotara au kumbe ni la kisasa lkn limekomaa sana!
 
Huwezi kugundua huyu ni Cjotara huyu bi Kienyeji kwa kuwaangalia tu.
kwa dodo

kwa dodoma kuku wengi wanaoliwa ni chotara mkuu, ningekua na access ya camera ningewapiga picha hawafananii kabsa na bei ya elfu 10
 
Hao wa singida ndo sio Chotara? Kwani unaweza Kigundua Chotara na Kienyeji kwa Macho? Hahaaaa aisee
mkuu kuku chotara utamjua tu hata kwa kumuona,cdhan kama post yangu ilikua inachmbe ya kuchekesha...be a gentleman
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom