humble african

  1. humphrey busega

    Psychedelic Drugs & Consciousness

    Habari zenu wakuu, Natanguliza salamu za pole kwa wale waliofiwa na wapendwa wao katika kipindi hiki kigumu. Kikubwa tuwasikilize watalaam wa afya na tuwakinge tuwapendao. Mtanisamehe kwa kuchanganya lugha zote mbili katika hii thread lakini naomba kwa wale watakao kua interested with the...
  2. fungi6

    Installation problem of utorrent n pc

    bila shaka naisi tupo wengi ambao tumekumbwa na janga ili la window 10 updates yani kila niki download any app kwenye pc inakuja na icon ya website iliyo downlodia kama ile ya e ambayo ni explorer, naombeni msaada kwa wana jamvi wale ambao mnaujuzi mnipe mwongozo kidogo maaana am not good with...
  3. A teller

    Please wait me (nisubiri tafadhali)

    Iwafikie wanawake wote wapenda fedha, wasio wavumilivu katika mahusiano na wanaume wao wenye kipato kidogo. If i don't get today, i go get tomorrow please wait me, its a matter of a time. Rude boy kafanikiwa kutuaminisha kwa kiasi kukubwa ya kuwa mafanikio huletwa na kutokukata tamaa, juhudi...
  4. Toosie Slide

    ApexTv na Noah

    Kwa wale wafatiliaji wa time traveler kwa kupitia hii YouTube channel, watakua wanamfahamu huyu jamaa anaeitwa Noah. huyu mtu alikua anasema yeye ni mtu kutokea future [2030]. Ameaminisha watu wengi sana kuhusu kusafiri kwa muda. Tarehe 23 July 2019, ApexTv walirusha video yake ambayo inaonyesha...
  5. Tanzanite klm

    Israel toka 1948 na Jeshi la IDF

    HISTORIA YA TAIFA LA ISRAEL TANGU 1948 NA VITA VITA KUU ILIZOPIGANA. UTANGULIZI (softcopy iliyokamilika ipo sasa 3000 tsh pekee) Katika karne ya 19 idadi kubwa ya Wayahudi waliishi katika maeneo kadhaa ya Milki ya Urusi yaliyotwaliwa na milki hiyo mnamo 1800. Uadui dhidi ya Wayahudi ulitokea...
Back
Top Bottom