Ni yule yule Kipanya

A teller

JF-Expert Member
Feb 6, 2018
489
687
1577009605925.png
 
Hiyo kazi anayoifanya inajenga uchumi kwasababu anaokota chupa za plastic anaziuza kupata kipato na zinarejeshwa kiwandani na kuchakatwa na kutumika tena. Ni njia pia ya kusafisha mazingira! Wewe kama hii kazi huwezi kuifanya haikupi haki ya kumuita anayeifanya kuwa ni chizi!
 
Sure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom