Search results

  1. The Garang

    Wanawake mnageuka chuma ulete

    Amani iwe nanyi wana MMU. Long live JF. Ebwaana eeeeh twende kwenye mada sasa kumezuka tabia moja ya kimalaya na kiwaki sana sikuhizi sijui ni upande wangu au na wengine pia mtaleta shuhuda. Mademu wanapiga mizinga mbaya sana awe ni demu wako, uwe rafiki yake, uwe jirani yake ni vibomu kwenda...
  2. The Garang

    Napanga kisasi, amekula nauli

    Assalaam alaykum. Wakuu hiki kitendo kimeniuma sana, kuna huyu dada alipost huko fb anatafuta kazi za mgahawani, kuuza duka, saluni na ishu za pesa, alikuwa ameweka namba za simu, dhehebu lake na mahali alipo ambako sio mbali na mimi. Nikascrinishoti nikapita kushoto. Nilifanya hivi, kuna dada...
  3. The Garang

    Nimekubali kuachwa tena

    Nianze kwa kucheka kwanza. Hii stori naiandika kwa lugha isiyo Rasmi, lugha za kiujana ujana. Wayback nlikuwa na mamiloo, alinipenda ye then mie nikausoma mchezo tukawa wapenzi. Tumeenda miezi kadhaa penzi likaanza kumiss, nikajaribu boost boost haikuwa ridhiki likafa Baada ya kukaushiana tu...
  4. The Garang

    Mambo yapi unayokerekwa nayo mitandaoni?

    Mnaendeleajee ndugu zangu na maandalizi ya sherehe za mwisho na mwanzo wa kiume mwaka? Kwa wale ndugu zangu Wasabato na Waislamu tunaitazamia Mwaka mpya kama Niko sahihi. Shalom, Kumekuwa na vijitabia vya kukera sana kwa baadhi ya rafiki zetu hasa mitandaoni. Mie binafsi sio mdau sana wa...
  5. The Garang

    Mambo yapi unayokerekwa nayo mitandaoni?

    Mnaendeleajee ndugu zangu na maandalizi ya sherehe za mwisho na mwanzo wa kiume mwaka? Kwa wale ndugu zangu Wasabato na Waislamu tunaitazamia Mwaka mpya kama Niko sahihi. Shalom, Kumekuwa na vijitabia vya kukera sana kwa baadhi ya rafiki zetu hasa mitandaoni. Mie binafsi sio mdau sana wa...
  6. The Garang

    Nini madhara ya kuzuia shahawa (semen retention) wakati wa majambozi?

    Habari Wana JF. Tunajua shahawa zina contain elements nyingi zikiwemo protini na sugari. Sugar na protein kila Moja inafaida katika mwili wa binadamu, kwa upande wa sugar YENYEWE hutupa nguvu mwilin mwetu, kwa upande wa protein inahusika na ukuaji wa seli hai mbalimbali mwilini. Hivyo...
  7. The Garang

    Ndugu zetu Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi karibuni kwenye section ya MMU

    Hali vipi wanajumuiya ya Afrika ya Mashariki. Nipende kuwakaribisha ndugu zetu tajwa hapo juu, kuweza kujumuika nasi katika jukwaa la MMU (Mahusiano, Mapenzi na urafiki) ili tuweze kubadilishana mawazo kadhaa hususani katika mahusiano yetu kwa ujumla. Tunahitaji kuona mkileta hadith za bibi...
  8. The Garang

    Ana maana gani huyu Binti?

    Shikamoni, habarini Poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa na mvua zinazoendelea kunyesha baadhi ya mikoa. Iko hivi, kuna jamaa yangu tumesoma nae alinipasia namba ya ex wake wa huko Moshi, huyu Binti ni fresher nikaona sio mbaya nikijuana nae niweke urafiki, niongeze idadi ya marafiki wa...
  9. The Garang

    Ushawahi kukatazwa kula chakula ugenini Hadi baba/mama mwenye mji afike?

    Wasaalam, Hivi ushawahi enda sehemu kwa rafiki yako, ndugu yako kusalimiaa etc. Chakula kimepikwa na muda wa kula umewadia lakin mnaambiwa msubjri hadi mwenye mji afike ndipo mle kwa pamoja. Sasaa fikiria ulikuwa umeenda tangia asubuhi sasa msosi umepikwa wa jioni unatakiwa ule uende zako...
  10. The Garang

    Unaikumbuka intaneti ya Bure ya Zain/Airtel??

    Vizuri havidumu, miaka ya 2010s Huu mtandao ulikuwa ukitoa net ya Bure kuanzia saa nne usiku Hadi saa 12 asubuhi. Wakati huo nlikuwa natumia modem nakesha fb, nimecheki sana sites za mapenzi lakini zaidi ya hapo nlikuwa nakesha kuangalia PORN hadi asubuhi[emoji25]. Ujana maji ya moto...
  11. The Garang

    Tuache kuzungusha wadeni wetu

    Mama wa watu anajitahidi kusambaza mboga zake matunda yake mtaani, anakuja kwako unanunua ,unampa Hela anakosa chenji anakuachia Hela yake Ili aje afate mda mwingine. Mama wa watu anakuja kufata Hela yake ambayo ni halali yake UNAMCHUKIA ukihis anakusumbua ,umesahau ya kuwa alikuletea bidhaa...
  12. The Garang

    Ugumu wa maisha ya ndoa

    Mambo vipi?? Wakubwa shikamoni!! Miaka takribani 10 iliyopita nilikuwa na urafiki na wadada wawili ambao ni o level classmates wangu. Tulikuwa close sana kiasi kwamba kujua ni nani anawafatilia ilikuwa ni issue normal. Wakati tunamaliza o level , mmoja wa rafiki yangu kati ya wale wawili...
  13. The Garang

    Anusurika kuuawa kisa sigara

    Assalaam aleikhum warahmatullah Tarah wabarakatuh. Masaa machache yaliyopita nikiwa nakula upepo mzuri maeneo fulan hivi ya nyumban nikasikiaa sauti ya bibi kizee mwiziii mwiziii jaman mwiziii mwiziii. Mdogo mdogo nikasogea na fimbo yangu eneo la tukio, kufika pale nakutana na jamaa rika kama...
  14. The Garang

    Story ya mpenzi wangu wa kwanza

    Assalamu alaikum, Mapenzi majani huota popote. Imepita takribani Miaka zaidi ya 10 na kidogo tangu nilipokutana na msichana wangu wa kwanza, mdada aliyenifanya niinjoi maisha ya sekondari, mdada aliyenifanya niuze jina kwa mashikaji Hadi na walimu pia,mdada aliyenipa chachu ya kupambana katika...
  15. The Garang

    Anadhani aki-post atanishtua

    Asalaam, Kuna uzi wangu niliupost huko nyuma ukisomeka. Nimekataliwa kisa mwanachuo. Haka kadogo bwana, nlikaelewa na kama kangeonesha response nzuri mkuu ninge settle tufanye maisha. Miezi kadhaa iliyopita tulikwazana sikumbuki jambo llikuwa gani, nikampotezea sababu nahisi ye ndo alikuwa...
  16. The Garang

    Be a man of vaule (Kuwa mwanamme wa thamani)

    Habarini, shikamoni na poleni kwa majukumu. Refer the heading above, naanza na visa viwili au vitatu kulingana na mada tajwa hapo juu. Kisa Cha kwanza. Kipindi Niko advance nilifahamiana na dada mmoja wa kisukuma alikuwa akiitwa Anna, mdada mrembo kisura haswaa, macho mazuri, guu la maana...
  17. The Garang

    Nilikutana na Mariamu kwenye gari moshi

    Amani iwe nanyi. Siku kadhaa hivi nilikuwa na safari, nikatumia usafiri pendwa wa ndugu zetu Waha. Nimefika station nasubir gariMoshi hatiMae likawasili, nikaingia kwenye behewa langu pamoja na wasafiri wengine. Nikaweka mizigo yangu na kuanza kutembelea behewa zingine. Katika pita pita zangu...
  18. The Garang

    Yuko wapi mkaka/mdada aliekuwa anakupenda sana kipindi hicho ukamkataa and viceversa

    Habarini ndugu zangu, hongereni na poleni kwa majukumu yetu ya kila siku. Bila kupoteza muda, katika maisha kuna kipindi tunajikuta tunapendwa na wenzetu wa jinsia tofauti, hivyo wanatumia approaches mbalimbali kuweza kutupata. Lakini, yote ya yote tunaishia kuwachomolea mbali kwa sababu ambazo...
  19. The Garang

    Namuonea huruma huyu dada, nilitaka urafiki wa kawaida na si mapenzi

    Nawasalimu kwa jina la JF, shuhuda ziendelee. Wakuu imepita takribani miezi kadhaa hivi tangu ni fahamiane na huyu dada, nikiri kwa hii hali iliyofikia mie ndiye wa kulaumiwa. Ilikuwa majira ya jioni nimetoka pindi nikechoka nikaona sio mbaya nitafute mtu stranger nipige naye story nimzingue...
  20. The Garang

    Nilivyoyanusuru mahusiano ya jamaa zangu

    Nawasalimu kwa jina la JF, shuhuda ziendelee. Mara nyingi mahusiano ya wanamme iwe ni mabaya au mazuri, huwa ya kulindana hasa linapokuja suala la mapenzi au mahusiano. Kuna wakati jamaa zetu wanakosea kwa wapenzi wao, hadi inafika kipindi shemeji zetu wanatafuta sie best friends zao kuweza...
Back
Top Bottom