Be a man of vaule (Kuwa mwanamme wa thamani)

The Garang

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
2,333
4,150
Habarini, shikamoni na poleni kwa majukumu.

Refer the heading above, naanza na visa viwili au vitatu kulingana na mada tajwa hapo juu.

Kisa Cha kwanza.
Kipindi Niko advance nilifahamiana na dada mmoja wa kisukuma alikuwa akiitwa Anna, mdada mrembo kisura haswaa, macho mazuri, guu la maana kweli,mlaini, vidole virefu vya mikono, urefu wastani, tank alikuwa nalo, mweupe, lips nzuri halafu na mwendo wa maringo yule dogo alikuwa funiko.
Anna alikuwa mdada mwenye tabasamu zuri, ongea ya kudeka na kicheko kizuri aiseee sijui unanipata we msomaji, she was a perfect girl in my sight. On top of that she was very bright sijui clever amongst girls in the class na ashatukimbiza mara kibao tu lakin mapenzi yalimchanga hakumaliza mwendo vyema Hadi walimu wakawa wanamuita kumshauri aachane na mapenzi yakuanzia advance

Alikuwa mdau wa back bencher kama mie, kipindi tumeanza ripoti shule tulikuwa wachache sana hivyo wadada walikuwa wachache plus kombi za kiume zile.

Nlizoeana nae kwa muda mfupi, coz mie mtu wa matani na story, hatimae akawa friend wangu mzuri tukisaidiana hapa na pale kimasomo na wakati mwingine kunibless vi breakfast, kifedha Mtoto alikuwa vyema sana her wallet never went dry.

As days go on, akaja jamaa mwingine ,huyu jamaa alisoma advance then akastop kama sio kuhama hivyo akaja kuanza nasi Tena form5.

Picha linaanza jamaa alikuwa vyema kichwani na katika watu tuliofanya vyema darasani kwetu naye ni mojawapo. Basi mwalimu alikuwa na mtindoo wa kutoa maswali na kuita mtu akaelekeze pale mbele, kwakuwa jamaa alikuwa ashayasoma madude akawa anatukimbiza sasa.

Anna na mie tulikuwa marafiki wa kushibana sana kiasi kwamba wadau wakahisi mie natoka nae mtoto mzuri wa kisukuma, basi jamaa kwakuwa alikuwa anachemka fasta kama engine ya petrol akaiiba attention ya Anna kwangu, akahamishiaa Kwa jamaa wakawa marafiki na zaidi ya kwangu tulivokuwa.

Aiseee niliumia sana japo hakuwa mpenzi wangu lakini wivu sijui ulitokea wapi, days go on nikazoeaa na wakawa wanadate but still wadau waniita baba Anna na kunikejeli kuwa nilizingua mtoto alinielewa na kweli mtoto alikuwa kanielewa tatizo at that time nlikuwa mtu wa dini sana na udini huo ulikuja kuisha baada ha kwenda jeshini , jeshini sio poaa wale jamaa wanakubadir akili kabisaa.

Mwisho wa mhula umefika, mtoto nikamfata nikamuomba namba yake, akasema hapana naomba yako nitakupigia , nikampa lakini hakupiga kuanzia siku hiyo nikaanza kumpotezea hata wakati tumefungua shule sikuwa na time naye Hadi akawa anahisi kuna kitu haiko sawa, till today sijawahi kuwa na namba yake.

Nlichojifunza, labda Anna angeendelea kuwa NAMI tukisaidiana kimasomo na urafiki Kam kawa lakini baada ya A man of value kuja akahamisha attention yake kwangu kisa sijui projectile motion

Kisa Cha pili naandika wakati unasoma hiii
 
Vaule=value

correct error
 
Endelea soma hii wakati naandika, topic yenyewe.

Kisa Cha pili.
Niko chuo engine yangu ya Diesel nachelewa changanya kimasomo sio yote ila kulikuwa na SoMo Moja gumu sana nlikuwa silipendi.

Nikatokea kupangwa kundi Moja na dada wa kichaga Kimario, as usual matani sana tukawa friends wakushibana naenda room kwake tunapiga story ,tunaelkezana madude and other stuffs,

Nikaona nifanye attempt japo ilikuwa masihara hivyo jibu lolote mie ningelikubali, I did it for funny akaniletea zile za nataka sitaki but alianza kuelekea ,mie nikaomba asinikubalie ,kwa mara ya kwanza nilifanya sala huyu dada asinikubalie coz sikuwa serious and it came true.

Katika grupu letu kulikuwa na jamaa mashule shule sana, jamaa anasoma na anameza madude yanakubali kukaaa na anajua elekeza kitu ukaelewa. Kwakuwa nilikuwa nae kundi Moja basi Kimario akaanza kumkbali jamaa ,slowly Ile time alokuwa ananipaa akaanza punguza

Huyu jamaa nae msemea hapa tulikuwa tunakaa milango mfatano, ukitoka kwke unakuja kwangu. Basi siku znaenda mdada kapunguza attention kwangu, kuna wakati wanadiscuss hawanishtui, ILINIUMA kuona mtu who was once my friend Yuko attached kwa mtu mwengine coz siwez kumsaidia kwa SoMo Moja.

Nikazoeaa maisha yakaenda watu wakijua nadate nae lakini haikuwa hivyo, ALIKUWA akihitaji kwenda sehemu ndio ananiita nimsindikize coz nlikuwa namkubali nlikuwa naenda BOYA sana Mimi. Kaolewa saiv hatuongei kama zamani. But she was my first crush at uni.

Nimemalizaa, naandika madam husika sasa
 
Mada husika sasa.

Kwannamna yeyote kama we ni mwanamme au mvulana unatransit kwenda uanamme soon,jitahidi kuzingatia mambo haya na mengine unaweza ongeza hapa.

1. Kama ni mwanafunzi hakikisha unasoma vyema unayajua mambo, hapa utapata marafiki wa kila namna, ambao kweli wanakukubali au wale wanaokuja kimaslahi.

Kuna wakati tuko class discussion asipokuwepo mtu fulani au watu fulani discussion haiendeleii, so be that kind of man kwa wale wachakata vitumbua wanazitumia vizuri hizi chance.

2. TAFUTA PESA,mwanamme usipokuwa na pesa wee kama sio mtu mzima basi unaweza ukakosa heshima kabisa na usionekane kuwa wa maana hata katika vikao, Money speaks louder than words themselves. Utapata wadada uwatakao, utapata marafiki wengi lakini wote hao wameona thamani Yako kwao.

3.
4.
5.

Unaweza Jaza, ngoja nilee kwanza nitakuja maliziaa mengineee
 
Kisa Cha tatu.
Nlipokuwa nasoma o level, nlikuwa najisukuma sukuma hivyo hivyo darasani. Kuna wakati nlikuwa nikikutwa na makosa nasamehewa sababu nlikuwa najitahidi darasani.

Kuna siku nlichelewa shule, basi tukasimamishwaaa ,akaja mwalimu wa zamu, alivoniona AKATOA PRESIDENTIAL PARDON akasema sababu ya huyu nawasamehe ikabidi wadau wanigeukie kunitazama, basi mie bichwa likavimba sana.

Inshot maisha ya o level nimeyainjoi sana kutokana na thamani iliyokuwepo ndani yangu, hata kipindi nikishinda shule, siku ifatayo nikisema nlikuwa naumwa siulizwi vyeti vya hospitali.

Nimelishwa sana na walimu ofisini kwao, pia wadada wamenilisha sana breakfast, bado nawakumbuka sana, mbarikiwe saana.

Leo nikienda tembelea shule niliosoma kama ni kwenye mahafali basi nakaribishwa seat nzuri sio za mbele lakini napata nafasi ya kukaa na kupewa msosi.

Be a man of value , people will come after u
 
Umeandika kitu cha maana Sana kwa watu wanao penda sifa kina wafaa sana au wachakata K ila kwa watu wanao jielewa sio big issue sn kila mtu akupenda au bila ww kitu flani akifanyiki" mwanaume wa kweli ni yule anayefuata malengo yake na sio nn ampende au mbn fulan kaniacha"
 
Yes that's true buddy
 
Back
Top Bottom