The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,939
- 4,965
Mnaendeleajee ndugu zangu na maandalizi ya sherehe za mwisho na mwanzo wa kiume mwaka? Kwa wale ndugu zangu Wasabato na Waislamu tunaitazamia Mwaka mpya kama Niko sahihi.
Shalom,
Kumekuwa na vijitabia vya kukera sana kwa baadhi ya rafiki zetu hasa mitandaoni.
Mie binafsi sio mdau sana wa kumtafuta mtu unless ukinitafuta utapewa ushirikiano asilimia 200%.
Kumekuwa na tabia hasa wadada wa kutojibu replies iwe ni fb na WhatsApp group or [emoji392], Inakuwaje mtu unapost Birthday yako na kuandika ... Help me wish birthday... Then unakaa kimya kujibu replies za watu.
Huwa sicomment picha ya mtu au muwish mtu birthday unless watu waliocomment kabla yangu wamejibiwa , I can't boost your ego at any cost.
Huwa na unlike na kufuta comment yangu napojua umeignore intentionally the same to Whatsapp nafuta sms yangu nikiona imekaa siku zaidi ya 3 na nakuona unashare memes kwa status na we sio mtu wa ubusy. [emoji25][emoji25]Ila saiv option ya delete for all huwa inakosekana sometimes.
Ukinitafuta tuchat then ukanitupia usukan wa kuendeleza chatting as if ndio nimekutafuta inakula kwako, nakublue tick maisha yanaendela.
Huwa sibebanishi message juu ya message ambayo haijajibiwa na ukiniblue tick ndo imetoka hiyo hujipata muda wangu Tena.
Nikikutumia sms 3 tofauti ukajibu Moja wapo na kuignore zingine, siendelezi chatting unless ushtuke ujibu nahizo mbili.
Kuna kadada nlikatumia sms 3 tofauti kakajibu Moja, nikamgrey tick September to December nlimvomjibu naye akanibluetick but[emoji23][emoji23] anarevenge nikiwa nimesha fanya yangu.
#These are my rules, I won't compromise any.