Ugumu wa maisha ya ndoa

The Garang

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
2,333
4,152
Mambo vipi?? Wakubwa shikamoni!!

Miaka takribani 10 iliyopita nilikuwa na urafiki na wadada wawili ambao ni o level classmates wangu. Tulikuwa close sana kiasi kwamba kujua ni nani anawafatilia ilikuwa ni issue normal.

Wakati tunamaliza o level , mmoja wa rafiki yangu kati ya wale wawili alibahatika kuolewa kwa ndoa ya kanisani. Binti alikuwa ni bonge, black, haga analo, sio mrefu sana wala mfupi sana.

Miaka imeenda wakabahatika pata mtoto wa kiume, maisha yakaendelea as normal, na sasa huyo kijana wao anamiaka minne.

Kuna siku huyu rafiki wa pili akanipigia simu na kunishirikisha magumu anayopitoa shost wake kwenye ndoa, inasemekana jamaa HAJIWEZI KAMA MWANAMME (NAJUA WAKUU MSHAELEWA) hilo sio suala, suala ni kuwa jamaa ni mbishi hataki kutumia dawa kuweza kutibu tatizo lake.

Mdada anatamani kuongeza familia lakin jamaa ndohivo kimoja chali na kwa shida sana, amejaribu kwenda nae hospitali lkn jamaa ni mlokole sana hataki madawa.
Imefikia pindi huyu mkewe anataka chepuka sasa (kumbuka hii stori naambiwa na huyo rafiki yangu mwingine wa kike ambaye ni shost ake) lkn anahofia sababu hajakuzwa ktk maadili hayo.

KWA UPANDE mwingine nahic hata mwili wa huyu dada umechangia kwa kias fulani labda jamaa kukosa hamu kwa mkewe, kama nilivyosema huyu dada ni mnene lakin sasa amekuwa TIPWA TIPWA zaidi cjui unanipata navosema tipwa tipwa yani nikama yule video vixen wa ule wimbo KILA AKIPITA MINYAMAA TUU ... MWENZAKO NINAUGONJWA WA MOYOOO .... CHI CHI CHIBONGEEE CHI CHI CHIBONGEEE.

Lakini pia za chini ya kapeti ni kuwa huyu jamaa ilikuwa inasemekana hana uwezo wa kutungisha mimba, KUMBUKA mwane anamiaka minne lakini huyo mtoto kaja kupatikana miaka takribani mi3 kama sio miwili baada ya ndoa yao.

SWALI la kujiuliza kama jamaa hawezi kutungisha mwanamke mimba may be due to low sperm count, huyu mtoto waliyenae walipataje??
Au kuna jamaaa alimsaidia ili kuondoa aibu ya kuwa jamaa sio rijali??
Mie nawe hatujui.

Ndoa zinasiri nyingi usione watu wanafurahi mitaani ukahisi ndani kumetulia.
 
mara kimoja chali mara low sperm count, hii ni product ya TATEPA pia
Kumbuka kuhusu kutungisha mwanamke nlisema ni tetesi kaka, na hata hivy sianaweza akatungishiwa na mwanamme mwingine pia we hujai ona kesi kama hzio mwanamme mzigo haufanyi kaz au hana sperm lakin anasingiziwa mtoto
 
Asante sana kwa comment moja nzuri sana.

Mosi, hakuna sehem nliyosema mie ndo nli initiate conversation ya kutaka kujua yanayoendelea kwenye mahusiano yao lakin huy best ake ndo aliniletea hiyo mada nitoe msaada.

Pili, hakuna shida yeyote kuleta mada humu, watu wakaweza kujua yanayotokea katka ndoa may be wanaweza wakajifunza kitu na kushauri kitu as long as majina yao yamefichwa

Tatu na muhimu, Mkuu hatujuan so chunga sana comment zako zisij zikakuharibia siku yako, ninamajbu mabaya nikisema nikujibu sawa na upuuz wako moderator watafunga huu uzi kama sio kula ban
so be careful kijana mdogo hakuna anayefatilia maisha ya watu

Nne na mwisho, tafuta pesa mkuu uache makasiriko nahic nawe ni mmoja ya vijana amabao wamebomolewa vibanda vyao kwenye jiji la Kandoro
Wewe mbona hujatuambia yakwako unasimulia ya mwenzako? Acha umbeya na majungu fuata yako ukifuatilia ya wenzako utachelewa
 
Wamehangaika kupata mtoto ndani ya miaka 3
Halafu mtoto ana Miaka 4....kule juu umesema ni miaka 10 iliyopita


🍵🍵
twende taratibu.
hyo miaka 10 ni tangu nimejuana nao.
hiyo miaka 4 ni miaka ya mtoto wao.
miaka 3 au miwili wamekaa bila kupata mtoto.

so u can figure out hiyo ndoa imefungwa mwaka gan sidhan kama ukijumlisha nne na tatu hapo inazid miak 10 ya mie kujuana naye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom