mwanachuo

 1. David M Mrope

  Je, umemaliza chuo na unataka ujiajiri?

  Mhitimu wa chuo kikuu ni mtu mwenye elimu ya juu kulinganisha na sehemu kubwa ya jamii. Hawa watu wanakitu cha kipekee japo wengi wao wamefumba. Sasa haya ndio mambo makuu,ya kukusaidia ujitambue na ujiajiri. 👉TENGENEZA NJIA YA ZIADA KATIKA MAISHA. Hii ni hatua ya kwanza kabisa,jaribu kuwaza...
 2. Moderator

  Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

  Habari wakuu, Ni dhahiri kuwa Jukwaa letu la Biashara limesheheni mada nyingi zenye miongozo kwa wanaoanza biashara na hata wanaohitaji msaada kwa biashara zao. Kutokana na mada nyingi kuwa na umuhimu na kuwa sticky, inalazimu kuweka links za mada hizi sehemu moja kwa urahisi wa kuzifikia na...
 3. The Garang

  Namuonea huruma huyu dada, nilitaka urafiki wa kawaida na si mapenzi

  Nawasalimu kwa jina la JF, shuhuda ziendelee. Wakuu imepita takribani miezi kadhaa hivi tangu ni fahamiane na huyu dada, nikiri kwa hii hali iliyofikia mie ndiye wa kulaumiwa. Ilikuwa majira ya jioni nimetoka pindi nikechoka nikaona sio mbaya nitafute mtu stranger nipige naye story nimzingue...
 4. Champagnee

  Umegharamia bill zote ila bado anataka umlipe...

  Mambo ni vipi? Weekend ilopita kuna manzi mmoja hv alinishangaza sana, ipo hivi Huyu manzi nafahamiana naye tu ni kitambo tulibadilishanaga namba ila hatukuwa intouched zaid ya kuview status lkn sio kuchat wala call. Hio siku nikaona amepost anakula msuli anasoma nikamuuliza hujamaliza chuo...
 5. Emmanuel Kasomi

  Mwanachuo aliyekuwa akisoma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Tawi la Mbeya Jofrey J. Nyoni auawa na wananchi wenye hasira

  Mwanachuo aliyekuwa akisoma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Tawi la Mbeya Jofrey J. Nyoni aliuawa na wananchi mwenye hasira kali katika kata ya Sinde jijini Mbeya. Mwanachuo huyo aliuliwa ikidaiwa kumiliki simu ya wizi wengine wakidai kuwa ameiba simu siku ya tarehe17-05-2021 Taarifa...
 6. The Garang

  Nimekataliwa kisa ni mwanachuo

  Habarini za jioni wana jamvi. Kuna binti tumefahamiana miaka miwili iliopita, ni dada ambae tunakaa sehemu moja. Aliniomba urafiki kwa kuwa alikuwa ananijuaa lakini mie sikuwa namjuaa kwakuwa kwao ni geti kali kidogo na ni mtu wa kushinda dukani. Maisha yakaendelea baada ya kumkubalia ombi...
 7. mtamba b

  Mapenzi yanatutesa Wanachuo, ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu kipindi hiki

  Habari yenu wana jamvi. Natumai mu wazima wa afya. Nisipoteze muda iko hivi Kuna binti mmoja hapa chuoni niko nae kwenye mahusiano kwa miezi 6 sasa. Ninampenda & analifahamu hilo. Ndo niliepanga toka awali awe mama watoto (Kama Mungu atabariki). Nimekuja kugundua yuko kwenye mahusiano na mtu...
 8. Youth Worker Tanzania

  Mwanachuo usidharau kipindi cha Orientstion

  Ni utaratibu wa vyuo karibu vyote kwa ngazi tofauti kuwa na ratiba ambayo inaonesha mambo muhimu yanayohusiana na chuo husika. Ujumuisha sheria na kanuni za chuo,ufaulu na madaraja tofauti ,Maeneo muhimu ya chuo kama hostel na madarasa mengine. Na wengine huenda mbali hata wakawasaidia...
Top Bottom