mmu

  1. Teslarati

    WOMENS DAY (MMU): Wanawake asili yenu ni roho ya huruma na kujali. Siku hii iwakumbushe kurudia asili yenu ya huruma na kujali hasa kwa wapenzi wenu

    Wanawake asili yenu ni kuwa na huruma na kujali, lakini imekua opposite hasa kwenye sekta ya mahusiano na mapenzi kwa ujumla. Wanawake wa kipindi kile walikua wanawajali sana waume/wapenzi wao. Ukitoka kazini unakuta msosi umefunikwa kwa ungo lenye maneno matamu, hapo kuna maji ya moto...
  2. S

    Mwanangu yupo humu JF na kijiwe chake kikuu ni hapa MMU

    Mwanangu ujuwe nakuona na yale unayoyaandika na kuyavalia jezi hapa kwenye kijiwe cha mahusiano mapenzi na Unafiki. Hivyo ni vizuri ukaachana na ukumbi huu haukufai na nakuona unavurugika akili na unayoyaandika hata mimi mzazi wako sijayafikia. Yaani mzazi unakutana na mwanao kwenye mitaa ya...
  3. kindikinyer leborosier

    Wana MMU, kijana wenu yanataka kunishinda tena, nataka sasa kuwa 'senior bachelor'

    Hello bila shaka mu wazima, poleni kwa wale wenye changamoto za hapa na pale, Mola awape ujasiri wa kukabiliana nao na kuushinda! Niende moja kwa moja kwenye mada, nina mchumba wangu, nimemtambulisha mpaka nyumbani na kwa ndugu zangu, sijawahi kufanya hivi kwa mwanamke yeyote, hiki ni kiashiria...
  4. Binadamu Mtakatifu

    Miss u wana Mmu, ramadhani hii ukiwa na ugumu wewe sio binadamu

    😂😂😂 kwanza nafuraha sana baada ya kutoka jela segerea mitaaa ya ban thanks mod Nikitambo sana ila kikubwa ni hiki jamani mwezi huu mtukufu (mimi ni mkrito) ila nipo pamoja na nyie jua kali sana mpaka genye haziji kabisa Nashangaa kuna vijana bado wanamizika sijui wanaitoa wapi mimi tu...
  5. Manyanza

    Ninavyomjua Nakadori humu MMU

    Nawasalimu wana MMU wote kwa jina la JF, Alasiri hii nimejisikia tu kwa utashi wangu kumuelezea jinsi ninavyomjua Miss Nakadori humu MMU, kwa upande wangu kutokana na thread zake ambazo huwa anazileta humu kwenye jukwaa letu pendwa naweza kumuita The Queen of MMU 👑👑👑. Wapo wengi sana ambao...
  6. M

    Wana MMU wenzangu tutumie jukwaa letu vizuri maana Rais huwa anapita huku

    Tujenge hoja vizuri maana Rais kasema nae huwa anaperuzi JF. Sasa hajasema ni jukwaa gani, huenda ni jukwaa hili pendwa. Tulitumie vizuri, tuweke hoja zenye mashiko.
  7. Dr Matola PhD

    MMU Leo tuongee watu wazima vijana wajifunze kutoka kwetu, maana jukwaa limejaa utoto mwingi.

    Naongea na wazee wenzangu Leo, let's say hakuna tatizo nyumbani mko powa. Mama ameanza tabia za kulala na Watoto na hakuna ugomvi wowote. Na sometimes una vidume vikubwa kuna wakati mama anaona hah Leo jumamosi kuna wedding somewhere natoka na first born wangu wa kiume baba atasubiri nyumbani...
  8. kindikinyer leborosier

    Nina mashaka huyu mtoto si wangu, ushauri wako wa muhimu mwana MMU!

    Assalam mwana MMU, pole na majukumu ya kimaisha. Niende moja kwa moja kwenye mada, mwaka 2015 baada ya kuhitimu elimu nilanza harakati zangu kitaa, nilitoka mkoa niliokulia na kuja kanda ya ziwa Mwanza. Maisha ya kuwa mwenyewe, sijaoa, nikajikuta nakula kwa mama mmoja alikua na sehemu ya...
  9. Palina

    Tafuta mtu unayeendana naye ili ufurahie mapenzi

    Hope mko poa. Recently, kumekua na case tofauti tofauti kwa hili jukwaa pendwa la MMU. Kumekua na story za member wenzetu humu kuumizwa na haya mapenzi. Kuna thread zinasikitisha na kutia huruma sana. Kama member wa JF na mfatiliaji wa hili jukwaa hili ningependa watu wapate kutambua yakuwa...
  10. Victoire

    Msaada: Kuna Mume kapigwa na kitu kizito, naomba tuwashauri

    Iko hivi hawa mke na mme wanaishi nchi tofauti ila hapo nyuma walipendana sana tena sana na.wana watoto kadhaa. Sasa mme akapata michepuko hapa Tanzania. Na kuna mchepuko aliupenda sana sana kupita mingine. Mke wake anaishi London na watoto. Sasa kuna siku mme akampigia mkewe simu akimwambia...
  11. Mwananchi wa chini

    Malalamiko ya wana MMU kwenye Hoja Yangu kuwa ''Mwanaume kama huna akili usioe''

    1. Huwenda wanaume wengi huingia ndoani bila kumjua kikamilifu mwanamke ni nani. 2. Wanawake pamoja na mafunzo mbali mbali wanayopitia bado hayajawafanya watambue mwanaume ni nani zaidi wanafundishwa jinsi ya kumtuza mwanaume kitu ambacho kikweli ni kidogo sana na ziada maana upendo hujiongoza...
  12. The Garang

    Ndugu zetu Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi karibuni kwenye section ya MMU

    Hali vipi wanajumuiya ya Afrika ya Mashariki. Nipende kuwakaribisha ndugu zetu tajwa hapo juu, kuweza kujumuika nasi katika jukwaa la MMU (Mahusiano, Mapenzi na urafiki) ili tuweze kubadilishana mawazo kadhaa hususani katika mahusiano yetu kwa ujumla. Tunahitaji kuona mkileta hadith za bibi...
  13. lara 1

    Weekend story: A Woman of the people

    Igweeeeeeeee!!! RIP WARUMI! (Mimi na wewe tulikuwa na tofauti zetu za hapa na pale but all Ina all you were a good man, young and vibrant! You will be much missed! Haswaa vi chambo vyako! ) Im back from around the world! Kabla hamjapanic nimerudi na Vuuu tu! Nothing to show picha tu! So...
  14. KENZY

    Warembo wa MMU mmekwenda wapi?

    Jukwaa limelala natapatapa sioni raia humu! Najua shida internet lakini si Kuna VPN! Au mnatumia mi IOS..😂 Hii inanikwaza kuwakosa usingizi haupiti, sioni hata raha ya mtandao bila nyinyi! Kama ni kuniweza basi hapa wameniweza! Najua hamuwezi kuwa bize na upigaji kura.. Jitahidini mrudi hali...
  15. Witmak255

    Wana MMU kuna ID humu naitafuta, nikiipata natangaza ndoa rasmi na vikao vyote vitafanyika humu

    Ndugu zangu wana MMU kwanza naomba nimshukuru mungu kwa kuniponya na lile gonjwa kwa kweli ni kwa neema zake tu mimi kuwa hai Kuna ID humu imepotea kwenye macho yangu, Ile ID ambayo inaogopwa na wanawake kwa wanaume wote hapa jukwaani ambayo iki-comment sehemu ID za kike zote haziwezi kum-QUOTE...
  16. R

    Hii ndio aina ya wanaume wengi wa JF MMU, wanaune mko vizuri mno

    Habari za sasa wana JF MMU. Nikiri kuwa ukifatilia stori za hapa na pale zinazopostiwa humu JFs utagundua kuwa wanaume wa humu wengi wamejaaliwa, wananemeka, wanabahati, wana mazali ya kufa mtu. Kwanza wanaume wa humu wana sifa zifuatazo 1. Wote ni mahandsome 2. Wote wana pesa, magari, majumba...
  17. Blue G

    Je, kuna ukweli kuwa mtu anaweza kumbadilisha mtu mzima?

    Habarini wana MMU, Za siku mbili tatu kwa wale wahenga wenzangu akina Mr Rocky,Tized ,Tamatheo na wengine wengi wa zileee Enzi zetu Leo ninalo hili wakuu, Katika mambo ambayo nimekuwa nikiamini sikuzote ni kuwa mtu mzima hawezi kubadilishwa mpaka awe ameamua mwenyewe eiza kwa kuona aina ya...
  18. J

    OMBI: Serikali iunde Computer Lab. Kila Programmer akatengeneze anachojua kwa manufaa ya nchi

    OMBI KWA SERIKALI YA MH. RAIS MAGUFULI: Serikali kupitia Wizara husika, iunde Computer Lab, ambayo itakuwa na Specs zifuatazo: Chumba kiwe kikubwa, chenye Computer za Mac "50", zenye specs kuanzia RAM 8 na 1 TB...hazitawekewa Software yoyote, ziwe empty. halafu vijana wanaoona wanaweza ku...
Back
Top Bottom