Search results

  1. donlucchese

    Msaada: Nahitaji Dining Table (location - Dodoma)

    Salam wakuu, Kama Uzi wangu unavyojieleza hapo juu, nahitaji meza ya chakula (dining table) kwaajili ya nyumbani. Naomba kwa anayefahamu sehemu wanatengeneza meza hizo kwa gharama nafuu kwa hapa mkoani Dodoma aweze kunielekeza ili nikawaone. Budget yangu NI isizidi 1M (meza na viti sita)
  2. donlucchese

    Young Lunya ana u-GOAT gani?

    Habari za jioni wakuu, Let me get straight to the point... Young Lunya ni msanii ambae ni mkali wa mashairi na flows pia. Huwa namfananisha na bwana mdogo mmoja enzi hizo kule states wa kuitwa Soulja Boy Tell 'em. Pamoja na ukali wake na kumkubali, siafiki kabisa kitendo cha yeye kujiita GoaT...
  3. donlucchese

    The late JKN

  4. donlucchese

    Shabiby line tuoneeni huruma abiria....!!!

    Mnatuleta kwenye migahawa ya ghali sana kwa huduma za chakula, au mnataka turudi kwenye Zama za kusafiri huku tumebeba mikate na soda?
  5. donlucchese

    Naomba msaada jinsi ya kusoma Mita ya maji (DUWASA)

    Salam wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba msaada jinsi ya kusoma hizi Mita maana muda mwingine nahisi wananibambika bili. Matumizi ya kawaida tu ya maji na hapo ni familia ya watu wanne tu lakini jana wamenitumia bili elfu thelathini. Ningesema pengine labda kwakuwa nilipanda...
  6. donlucchese

    Naomba msaada wakuu....!!!

    Habari wakuu, Samahani naomba msaada kwa yoyote ambaye ana connection na watu wa idara ya uhasibu mahakama ya mirathi temeke aweze kunisaidia mawasiliano. Mama yetu mzazi alifariki mwaka Jana mwezi July akatuacha na baba yetu mzazi na sisi watoto wawili. Baba aliteuliwa kua msimamizi wa...
  7. donlucchese

    Umeelewa nini kwenye hii picha?

  8. donlucchese

    Leo January 2, 2024 Dodoma tumepata mvua

    Tunamshkuru Mungu tangu jana na Leo tunapata mvua. Tulikua na mashaka na mazao tuliyopanda kama tutapata mvua. Mungu atujaalie iendelee kunyesha
  9. donlucchese

    Profesa Janabi apuuzwe!

  10. donlucchese

    Nani ametisha kwenye ngoma ya Underrated?

    Salam wakuu, Straight to the point, Stamina Shorobwenzi ametoa ngoma mpya inayoitwa Underrated ambapo humo amewashirikisha Motra The Future, Maarifa, Boshoo ze Son, Dizasta Vina ( The Black Maradona) na P Mawenge. Kwa ambao mmebahatika kuisikia, mnaonaje Nani ametisha humo ndani? Binafsi...
  11. donlucchese

    Msaada: Fence Designs.....!!!

    Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ninaomba kwa wataalam wa ujenzi mtu aweze nisaidia michoro ya design mbalimbali za fence for residential area. Nimejaribu kuangalia Pinterest lakini naona nyingi kiuhalisia wa hapa kwetu bongo sio suitable kabisa . Asante, naomba kuwasilisha!
  12. donlucchese

    Msaada: Naomba kuunganisha na mtu anayesafirisha wanyama

    Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, ninahitaji msaada wa kupata connection ya mtu au kampuni ambayo wanahusika na kusafirisha wanyama. Nina mbwa wangu mdogo GSD ninahitaji kumsafirisha kutoka Dar kumpeleka Dodoma ila changamoto ni usafiri. Naomba msaada ndugu zangu au hata...
  13. donlucchese

    Naomba ushauri kwa mwenye kuielewa zaidi hii gari

    Salam wakuu, Niende straight kwenye mada. Nina mpango wa ku-upgrade gari kutoka hii ninayotumia sasa hivi (saloon car) kwenda kwenye SUV. Gari ambayo ninailenga ni Mitsubishi Outlander PHEV (Plug In Hybrid Electric Vehicle). Kutokana na gharama za mafuta kupanda nimeona hii itanifaa kwani...
  14. donlucchese

    Wasafi Festival....Live!!

    Naangalia kwenye TV hapa. So far naona Jay Melody ndio amewakuna mashabiki na Barnaba kidogo. Zuchu naona kama ana force kingi kwa mashabiki. Ngoja tuendelee kuona
  15. donlucchese

    Yuko wapi Mbiki Msumi?

    Habari wakuu, Napenda kufahamu alipo kwa sasa aliyewahi kuwa Miss Tanzania miaka ya zamani bibie Mbiki Msumi. Ni moja ya ma celebs ambao wamefanikiwa ku-keep low profile.
  16. donlucchese

    Msaada dawa ya kushusha sukari (Home Remedy)...!!

    Habari wakuu l, Kama kichwa kinavyosema hapo juu. Miaka mitatu iliyopita siku moja nikiwa naangalia TV sebuleni nilijikuta Nina blurred vision, kwenda kuchek zahanati nikakutwa Nina sukari. Nilipewa dawa za kutumia hospital lakini kuna dawa za asili nilitumia mwishowe tatizo likatoweka...
  17. donlucchese

    Ngoma gani kali ya hip-hop iliyofunga nusu mwaka?

    Salam wakuu, As today it's the beginning of second phase of the year, unahisi ni ngoma gani kali ya hip-hop (Tanzania) iliyofanya vizuri kupita ngoma zote kuanzia January mpaka June?
  18. donlucchese

    Msaada: Nyumba kuwa na matumizi makubwa ya umeme!!!

    Salam wakuu, Mwaka Jana rasmi niliunganishwa na Tanesco umeme nikaanza kupata huduma. Waliniweka kwenye Ile tariff ambayo ukiweka umeme wa elfu kumi unapata units 28. Sasa ndugu zangu changamoto iliyokua inanikabili ni kwamba hizo 28 mwezi sitoboi lazima ninunue tena umeme. Nikaenda tanesco...
  19. donlucchese

    Naomba msaada jinsi naweza nikatumia dish moja(azam) kwa ving'amuzi viwili tofauti

    Za jioni wakuu, Naomba msaada jinsi naweza nikatumia dish moja(azam) kwa ving'amuzi viwili tofauti. Yaan bedroom TV pia niweze kupata huduma ya azam TV kwa king'amuzi chake separate ila nitumie dish moja ninalotumia sitting room. Asanteni
Back
Top Bottom