Naomba msaada wakuu....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,523
Habari wakuu,

Samahani naomba msaada kwa yoyote ambaye ana connection na watu wa idara ya uhasibu mahakama ya mirathi temeke aweze kunisaidia mawasiliano.

Mama yetu mzazi alifariki mwaka Jana mwezi July akatuacha na baba yetu mzazi na sisi watoto wawili. Baba aliteuliwa kua msimamizi wa mirathi na alifuatilia taratibu zote mpaka mahakama ikatoa go ahead ya mali zigawanywe which in our case kilikua ni kiasi fulani cha fedha ambacho marehemu mama alikiweka kwenye fixed account.

Sasa changamoto iko kwa hao jamaa wa uhasibu aisee, yaan kila ukifuatilia tunaambiwa iko kwenye process na siku zinaenda tu mpaka imekua kero. Naomba msaada wakuu.

Asanteni
 
Mkono mtupu haulambwi, hao wahasibu mikoani ni kama walishajipitishia sheria kua hawawezi kutoa pesa yoyote mpaka wapate chochote kitu, hela Inatoka bank inaingia akaunti ya mahakama wapo radhi ikae hata mwaka kwao kama usipowapa rushwa
 
Daaah kweli aisee mkuu
 
Back
Top Bottom