Naomba ushauri kwa mwenye kuielewa zaidi hii gari

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,523
Salam wakuu,

Niende straight kwenye mada. Nina mpango wa ku-upgrade gari kutoka hii ninayotumia sasa hivi (saloon car) kwenda kwenye SUV. Gari ambayo ninailenga ni Mitsubishi Outlander PHEV (Plug In Hybrid Electric Vehicle).

Kutokana na gharama za mafuta kupanda nimeona hii itanifaa kwani kuna option ya kutumia both umeme na mafuta.

Naomba wajuzi wa magari, muweze kunipa mawili matatu kuhusu hii gari.

Asanteni

Outlander-002.jpg
 
Back
Top Bottom